Kishore Kumar Hits

UPENDO NKONE - Zipo Faida Kukaa Na Mungu şarkı sözleri

Sanatçı: UPENDO NKONE

albüm: Zipo Faida Kukaa Na Mungu


Eeeeehh eeehhhh ehhhhe
Zipo faida kukaaa na mungu
Zipo faida kumskilza roho
Zipo faida ukiomba na kusubiri
Usivunjike moyo zipo faida
Mara nyingi umefungwa ukaahindwa kusubiri
Hata alipochelewa kukujibu haukuwa na imani (×2)
Mungu wetu haaachelewii wala Hawaii
Yeye anaweza kujibu kwa wakati wakee.
Mungu wetu haachelwii wala hwaaai baba yeye anaweza kujibu pale anapotakaa endelea kusubiri majibu yako yanakuja
Wewe subiri usikate tamaa ooooohhhh ohhhh
Zipo faida kukaa na mungu
Zipo faida kumsikiliza roho
Zipo faida ukiomba na kusubiri
Usivunjike moyo zipo faida(×2}
Labda ndugu unaumwa
Unaomba uponyaji
KaZini matatizo
Wanasema we hufaaii
Umeshindwa kwenda shulee Dada
Pesa zimekosekaana
Ndoa yako matatizo amani ndani hakuna ye mungu wetu haachelewiii wala hawahiii yeye anaweza kujibu kwa wakati wake baaaabaaa endelea kusubiri majibu yako yanakujaaa usikate tamaaa
Repeat chorus
Hata Mimi nisubirii tena alipochelewa nilikuwa na imani
Na Mimi nilipoomba nilibidi kusubiri tena alipochelewa kunijibuu nlidhi kusubiri
Mungu wetu sio kiziwi hata asikusikie weewe tena macho ya upendo yanakutazama endelea kusubirii majibu yako yanakujaa
Wewe usubirii usikate tamaa
Repeat chorus
Weeeee subiriiii
Weeeee subiriiiii usikate tamaaaa
Weeee subiriii

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar