Kishore Kumar Hits

UPENDO NKONE - Nikae Miguuni Pako şarkı sözleri

Sanatçı: UPENDO NKONE

albüm: Usalama Wangu


Ee Bwana Yesu niko mbele zako Baba
Ninakuomba Baba unisikie
Nahitaji nikujue, niyajue maneno yako Yesu
Sheria zako Mungu zikae ndani yangu
Uliwaambia Israeli wazishike sheria zako Bwana
Kusudi baraka zako ziwe juu yangu
Unishike nisipotee nikaenda kwenye njia isiyofaa
Nikaliacha neno likapotea
Unilinde mguu wangu nisifuate mabaya
Adui asinimeze nikaangamia
Huduma yangu mimi, utumishi wangu mimi
Popote napohudumu nikuinue Yesu
Nikumbushe ulikonitoa, ni mengi umenitendea mimi
Nisije nikasahau wema wako Mungu
Mimi nikae miguuni pako
Ninaomba Baba unifundishe
Roho wa Mungu mwalimu mwema
Ninaomba Baba unifundishe
Mimi nikae miguuni pako
Ninaomba Baba unifundishe
Roho wa Mungu mwalimu mwema
Ninaomba Baba unifundishe
Utusamehe watumishi, mara nyingi tumekukosea Baba
Tunavyojiinua na tunakusahau
Miujiza ikitendeka
Tunasema ni kwa nguvu zetu sisi
Tunasahau kwamba ni wewe umetenda
Tunatumia madhabahu, kuyakuza majina yetu sisi
Badala ya kulikuza jina lako Yesu
Tumesahau mapatano, tulikuahidi ukituinua Baba
Tutakuinua Yesu mataifa wakujue
Hata sisi watumishi
Tumeshindwa kuzifuata amri zako
Tunatamani sana kulirekebisha neno
Na kama ungeturuhusu, tuweze kulirekebisha neno
Kila mtu angejiongoza anavyotaka yeye
Tunafanya mazingaombwe, kwenye madhabahu yako Yesu
Tunadhani tunaweza kukusaidia Mungu
Tunapiga sarakasi nyingi
Madhabahuni pako Baba
Tunadhani tunaweza kukusaidia Mungu
Lakini mimi nikae miguuni pako
Ninaomba Baba unifundishe
Roho wa Mungu mwalimu mwema
Ninaomba Baba unifundishe
Mimi nikae miguuni pako
Ninaomba Baba unifundishe
Roho wa Mungu mwalimu mwema
Ninaomba Baba unifundishe
Mimi nikae miguuni pako
Ninaomba Baba unifundishe
Roho wa Mungu mwalimu mwema
Ninaomba Baba unifundishe
Mimi nikae miguuni pako
Ninaomba Baba unifundishe
Roho wa Mungu mwalimu mwema
Ninaomba Baba unifundishe
Mimi nikae miguuni pako
Ninaomba Baba unifundishe
Roho wa Mungu mwalimu mwema
Ninaomba Baba unifundishe
Mimi nikae miguuni pako
Ninaomba Baba unifundishe
Roho wa Mungu mwalimu mwema
Ninaomba Baba unifundishe

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar