Nimetembelea mbali, ooh (sasa narudi)
Nilipotea dhambini sasa (sasa narudi)
Oh narudi leo (narudi)
Narudi Baba (narudi)
Halelluya (kutoka mbali)
Sasa Mwokozi wangu oh (sasa unikaribishe)
Baba (Bwana narudi)
Oh mimi narudi leo (narudi)
Narudi leo (narudi)
Halelluya (kutoka mbali)
Oh Mwokozi wangu (sasa unikaribishe) Halelluya
Bwana Yesu (Bwana narudi)
Aah, nimepoteza miaka mingi, oh (sasa narudi)
Tena nazitubu dhambi zangu zote (sasa narudi)
Bwana narudi leo (narudi)
Narudi leo (narudi)
Halelluya eeh (kutoka mbali)
Oh, Mwokozi wangu eeh (sasa unikaribishe)
Halelluya (Bwana narudi)
Oh, mimi narudi leo (narudi)
Narudi Baba (narudi kutoka mbali)
Oh, Mwokozi wangu oh (sasa unikaribishe)
Halelluya (Bwana narudi)
Nimechoka na dhambi, Bwana, oh (sasa narudi)
Neno lako naamini, Bwana (sasa narudi)
Oh narudi leo (narudi)
Narudi Baba (narudi)
Baba yangu oh (kutoka mbali)
Mwokozi wangu oh (sasa unikaribishe)
Bwana (Bwana narudi)
Oh Bwana wangu narudi leo (narudi)
Narudi leo (narudi)
Halelluya eeh (kutoka mbali)
Oh oh (sasa unikaribishe) Bwana
Baba yeh yeh (Bwana narudi)
Oh mimi narudi leo (narudi)
Narudi Baba (narudi)
Baba yangu ooh (kutoka mbali)
Mwokozi wangu Yesu (sasa unikaribishe)
Halelluya (Bwana narudi)
Narudi leo (narudi)
Narudi Baba (narudi)
Ooh (kutoka mbali)
Mwokozi wangu oh (sasa unikaribishe)
Bwana narudi
Narudi leo (narudi)
Halelluya (narudi)
Mwokozi (kutoka mbali)
Mwokozi wangu oh (sasa unikaribishe)
(Bwana narudi)
Mimi narudi leo (narudi)
Eeh eh (narudi)
Halelluya (kutoka mbali)
Oh Mwokozi wangu oh (sasa unikaribishe)
(Bwana narudi)
Поcмотреть все песни артиста
Sanatçının diğer albümleri