Mimi Angela nimeshangaa sana Nilifikiri kubarikiwa ni kuwa na mali mingi Kumbe mimi nilijidanganya Kubarikiwa ni kukutana na Yesu akubadilishe uwe kiumbe kipya Uliza Yakobo atakueleza Yelele Baba Yelele Baba Yelele Baba Yelele Baba Ninasema Baba, Yelele Baba Nimekutana na Yesu nikabarikiwa Nimekutana na Yawe nikabarikiwa Nimekutana na rabii nikabarikiwa Nimekutana na Yawe nikabarikiwa Unajivunia mali ya dunia Ujue kwamba yote ni ukatili Uliza Suleimani atakueleza Alikuwa nayo zaidi yako Lakini mwisho akasema ni ukatili Kubarikiwa ni kukutana na Bwana Akubadilishe uwe kiumbe kipya Ndipo utasema, mimi nimebarikiwa Haleluya Yelele Baba Yelele Baba Yelele Baba Yelele Baba Ninasema Baba, Yelele Baba Nimekutana na Yesu nikabarikiwa Nimekutana na Yawe nikabarikiwa Nimekutana na rabii nikabarikiwa Nimekutana na Yawe nikabarikiwa Nimekutana na Jehova nikabarikiwa Amebadilisha maisha yangu Amenifanya kiumbe kipya nikabarikiwa Nakutani Yawe (I met God) Napambolami (I am blessed) Ngai natukutani na Yezu (I have met Jesus) Napambolami Apamboli bomoi na Ngai (He blessed my life) Napambolami Yezu abongoli motema na Ngai (Jesus has fixed my heart) Napambolami Nakutani na Baba (I have met the Father)Napambolami Nakutani na Yezu, Napambolami Nakutani Yawe, Napambolami Nakutani na Jéhovah, Napambolami Apamboli bomoi na Ngai (He blessed my life) Napambolami Nakutani Yawe