Kishore Kumar Hits

Angela Chibalonza - Toka Chini şarkı sözleri

Sanatçı: Angela Chibalonza

albüm: Nimekutana Na Yesu


Nimechoka maisha ya kuonelewa, nimechoka maisha ya kufinyiliwa,
Nimechoka maisha ya kua chini, nataka bwana yesu ani inuwe,
Toka chini, kwenda juu,
Nataka ni inuliwe, toka chini kwenda juu,
Nataka niende juu, toka chini kwenda juu,
Bwana Yesu aniinue, toka chini kwenda juu,
Nataka nitoke chini,
O-o wana Israeli walipo umwa na nyoka, Musa akawambia tazameni juu, kuna nyoka ya shaba,
Nanyi mutapona juu kuna uponyaji, juu kuna ushindi,
Juu kuna uzima, juu kuna uwezo,
Toka, toka chini kwenda juu, toka chini kwenda juu,
Nataka nitoke chini, toka chini kwenda juu,
Chini kuna magonjwa, toka chini kwenda juu,
Yatakua chini, toka chini kwenda juu,
E-e-e toka chini e-e
Toka, toka chini kwenda juu,
Toka chini, toka chini, toka chini mama, toka chini kwenda juu,
Toka chini mama, toka chini kwenda juu,
Nataka nitoke chini e-e,
Daudi kutoka katika hali ya kuchunga kondoo mpaka kwenye kiti cha ufalme,
Aliye kua mtu asiye hesabika katika hesabu ya watoto wa nyumba ya esy,
Na kusaulika, mungu anaye mtoa mtu kutoka chini na kwenda juu,
Akamtunkuza nawe uyaamini haya manano, yatatokea na kua yako!
Nataka nitoke chini, toka chini kwenda juu,
Nimeteseka muda wa kutosha, toka chini kwenda juu,
Nakataa maisha ya chini, toka chini kwenda juu,
Toka, toka, toka chini baba, toka chini kwenda juu,
Toka, toka, toka chini dada, toka chini kwenda juu,
Chini kuna ukimwi, toka chini kwenda juu,
Chini kuna magonjwa, toka chini kwenda juu,
Chini kuna mateso, toka chini kwenda juu,
Chini kuna umaskini, toka chini kwenda juu,
Nataka nitoke chini baba, toka chini kwenda juu,
Nataka ni pande toka chini kwenda juu,
Nataka ni ruke kama tai, ele-le-le!

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar