Ni tabibu wa karibu, tabibu wa ajabu, na neema za daima ni dawa yake njema, Hatufai kuwa hai, wala hatutumai Ila yeye kweli ndiye atupumzishae Imbeni malaika sifa za Yesu bwana, pekee limetukuka, jina lake Yesu. Dhambi pia na hatia ametuchukulia Twenendeni na amani, hata kwake mbinguni. Uliona damu jina la Yesu kristo bwana, yu na sifa kwenye kufa asiishidwe na kufa. Imbeni malaika, sifa za Yesu bwana, pekee limetukuka jina lake Yesu Kila mume asimame, sifa zake zivume, wanawake na wasiiche kusifu jina lake. Imbeni...