Umbali tumetoka na Mahali Tumefika ndo maana Natambua kwamba wewe n ebenneza Sio kwa uwezo Wangu ila n kwa uwezo wako Mahali nimefika baba acha nikushukuru Ebwana umenisaidia nifike mahali nimefika Bwana wewe ni ebeneza Maishani mwangu Ninataka ebeneza Nijenge juu yako Ninataka ebeneza uwe msingi wangu Jiwe langu la pembeni Nakutamani sana Jiwe langu la thamani Nakuhitaji sana Oooh ebeneza jiwe langu Mimi nataka maisha yangu Yajengwe juu yako Ninataka ndoa yangu Ijengwe juu yako baba Ndoa zilizojengwa juu yako yahwe Hazivunjiki kamwe Nyumba zilizojengwa juu yako yahwe Hazivunjiki kamwe Ninataka uimbaji wangu baba Ujengwe juu yako Maana wewe ni sauti yangu Wewe ni uzima wangu Mi nataka ebeneza Nijengwe juu yako Mi nataka ebeneza uwe msingi wangu Jiwe langu la pembeni Nakutamani sana Jiwe langu la thamani Nakuhitaji sana Ooh ebeneza jiwe langu (Ebeneza) Ebeneza nanga Libanga nanga ya talo Oleki diamant olo papa eh Kati na bomoi nanga Zambe nakumisi yo Mokote akokani na yo Bisika nakomi lelo yahweh Ezali nse na makasi na yo Mi nataka ebeneza Nijengwe juu yako Mi nataka ebeneza Uwe msingi wangu Jiwe langu la pembeni Nakutamani sana Jiwe langu la thamani Nakuhitaji sana Mi nataka ebeneza Nijengwe juu yako Ninataka ebeneza Uwe msingi wangu Jiwe langu la pembeni Nakutamani sana Jiwe langu la thamani Nakuhitaji sana Ebeneza ni jiwe langu Jiwe langu la msingi Mahali nimefika leo Ni kwaajili yako ebeneza Mawe mengi yako hapa chini ya jua Kuna dhahabu, kuna almasi Kuna mawe hata sijui majina yake Lakini hakutakua na jiwe kama ebeneza