ONE Mtu mmoja kaniambia angela Kwanini unamwabudu yesu Hujui kwamba yesu ni muzunu Nikamwambia sikiza nikueleze Hayo yote sitaki kujua Ninachojua ameniokoa Ninachojua amenisamehe Nilikuwa mfungwa kaniweka huru Ndio maana ninamuinua Oh ndio maana ninamwabudu Ndio maana ninamtukuza Ahsante yesu (asante) Ahsante yesu (asante) Ahsante yesu (baba yangu) Ahsante yesu (ahsante) Ahsante yesu (yesu) Ahsante yesu (tunashukuru) Ahsante yesu (kwa wokovu baba) Ahsante yesu (asante) TWO Kwa wajane amekuwa mume Kwa mayatima amekuwa baba Walioshushwa amewainua Sisi wengine tulidharauliwa Bwana yesu ametupa heshima Bwana yesu ametuinua Kwa ajili yake leo ninaimba Kwa ajili yake leo ninasema Hata nyinyi mnanisikia Kwa ajili yake ninaabudu Kwa ajili yake ninamwinua Ahsante yesu (haleluya) Ahsante yesu (asante) Ahsante yesu Ahsante yesu (asante baba) Ahsante yesu (asante baba) Ahsante yesu (ninashukuru) Ahsante yesu (kwa matendo yako) Ahsante yesu (asante haleluyah) THREE Kwa ajili yake mumetwita wajinga Kwa ajili yake mumetwita washenzi Kwa ajili yake mumetwita kafiri Lakini sisi hatutachoka Pamoja naye tunasonga mbele Pamoja naye tunaenda mbele Pamoja naye tumejengwa sana Juu ya msinigi iliyo bora Hakuna kitu kitatutikisa Tumeamua kumfwata Yesu Mpaka mwisho wa maisha yetu Repeat with desired ad lib