Kishore Kumar Hits

MASTAR VK - Ni Real şarkı sözleri

Sanatçı: MASTAR VK

albüm: Ni Real


Eei yeah, hi ngoma ni real (It's tray music)
Iwabambe na muskize sana sana sana
Afande, eei pita na mwenye anajipa
Fanya ile mboga inalipa, VK ni hudoo ujuange Nakupenda nkaseme ni chokora mapipa
Niliacha kusuka wasupa niliachia wenye pupa
Wale wa kuwakunywa huwezi nikunywa ntavunja hio chupa
Kitambo nilishindwa na mbuku, kadaily mangori Zikifanyika chuo mamode ni mimi walishuku
Walidhani kijana ni jinga, kumbe kijana ni genius
Venye naroga adi mamode watashika hio ngoma vi serious, ju afande ndio senior
Mandege ni safi maziwa, mangoto pia umejaziwa
Shamba ukishindwa kulima hi ni Kanairo na utalimiwa
Hii mchezo sichezi na jersey, ukiringa sikubembelezi
Mboka naichapa nipate maganji we buda unakuanga mlazy
Wakasema hio kichwa ni mbaya (sana), we VK umetupa kawaya
Nikasema nisawa nataka doh, wasupa wamekua mamalaya
Skuhizi mapenzi gharama, hawa mangeus wanakuweka kwa fire
Sponyo amembeba na harrier, we uko na nduthi na bado umehire
Fala amekuja kujoke na mimi, wewe buda sicheki
N'bado anataka kuchill na mimi, hio ujinga sitaki
Si hatupi githqaa na mtu anataka kushindanga daily kwa hepi
Sikuhizi mandume wako na udaku ni kama wamemea majegi
Wacha nikuambie siri, Kanyare bado anahubiri
Sadaka mnatonga mangiri, hii inaitwa kuchezwa akili
Ati utavuna ulichopanda, bengu kapanda ya pili (Kapanda ya pili)
Kanidha skuhizi ni base ya kazi wafwasi wanalipia injili
Na bado tuko na siasa, wabunge wamehaza vinyasa
Manjege wanalipwa na hongo, na media inaonyesha uongo
Msanii Kali Omolo, buda amebeba industry
Jamoni tuko kwa mgongo, itabaki umetumia ubongo
Shakilla anatafta kiki, kuslay na vumbi ya mwiki
Kwa live atuonyeshe matiti, remote kwa shimo ya miti
Genje kama kawa, king ni Kaka sawa
Mi stumi madawa, mangwelo zunipa mabawa
Hii ngoma ni real iwabambe, kama unachuki jibambe
Sukari ni ya zuchuku silambi, we chapa hio kitu inyambe
Hizi simu zinaaribu vichwa turudi m'enzi za kabambe
Hio kutu haiwezi kufichwa, mkiwa wawili katambe
Eei yeah mkiwa wawili katambe
Hio kutu haiwezi kufichwa mkiwa wawili katambe
Eei mkiwa wawili katambe
Eei yeah yeah hi ngoma ni real iwabambe
Yeah ni real ni real
Eei yeah ni real ni real,hi ngoma ni real iwabambe
NI real ni real, eei yeah wewe

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar