Kishore Kumar Hits

Reuben Kigame - Moyo Wangu Musifu Bwana şarkı sözleri

Sanatçı: Reuben Kigame

albüm: Wastahili Bwana


Moyo wangu msifu Bwana
Na vyote vilivyo ndani yangu
Lisifu jina Lake
Moyo wangu msifu Bwana
Moyo wangu msifu Bwana
Na vyote vilivyo ndani yangu
Lisifu jina Lake
Moyo wangu msifu Bwana
Sisahau faida zake
Asamehe dhambi zako
Ayaponya magonjwa yako
Akukomboa kwa hatari zote we
Moyo wangu msifu Bwana
Na vyote vilivyo ndani yangu
Lisifu jina Lake
Moyo wangu msifu Bwana
Ni wa rehema na neema
Hakasiriki haraka Bwana
Mashariki ilivyo mbali na magharibi
Dhambi zetu ameziondoa
Moyo wangu msifu Bwana
Na vyote vilivyo ndani yangu
Lisifu jina Lake
Moyo wangu msifu Bwana

Moyo wangu msifu Bwana
Na vyote vilivyo ndani yangu
Lisifu jina Lake
Moyo wangu msifu Bwana
Moyo wangu msifu Bwana
Na vyote vilivyo ndani yangu
Lisifu jina Lake
Moyo wangu msifu Bwana
Lisifu jina Lake
Moyo wangu msifu Bwana (sifu jina Lake)
Moyo wangu msifu
Moyo wangu msifu
Moyo wangu msifu Bwana

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar