Kishore Kumar Hits

Reuben Kigame - Heri Masikini Wa Roho şarkı sözleri

Sanatçı: Reuben Kigame

albüm: Ombi Langu


Heri masikini wa roho
Ufalme wa mbinguni ni wao
Heri wenye huzuni
Maana watafarijika
Heri wenye upole
Hao watairithi nchi
Heri wenye njaa na kiu ya haki
Maana hao watashibishwa
Bwana (Bwana), eeh, Bwana (eeh, Bwana)
Nisaidie kuyafuata haya yote
Bwana (Bwana), eeh, Bwana (eeh, Bwana)
Naomba moyo safi siku zote
Heri wenye rehema
Hao watapata rehema
Heri wenye moyo safi
Hao watamuona Mungu
Heri wapatanishi
Wataitwa wana wa Mungu
Heri wenye kuudhiwa kwa haki
Ufalme wa mbingu ni wao
Bwana (Bwana), eeh, Bwana (eeh, Bwana)
Nisaidie kuyafuata haya yote
Bwana (Bwana), eeh, Bwana (eeh, Bwana)
Naomba moyo safi siku zote

Bwana (Bwana), eeh, Bwana (eeh, Bwana)
Nisaidie kuyafuata haya yote
Bwana (Bwana), eeh, Bwana (eeh, Bwana)
Naomba moyo safi siku zote
Bwana (Bwana), eeh, Bwana (eeh, Bwana)
Nisaidie kuyafuata haya yote
Bwana (Bwana), eeh, Bwana (eeh, Bwana)
Naomba moyo safi siku zote

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar