Oh papa nivema kuwa mbele zako baba Roho yangu ina tamani Ni kufaamu, ni kuabudu, ni kuishiye ziku zote Ile baba ni ombi langu Kama Ayala anatamani Maji huko jangwani Roho yangu inatamani Uso wa baba yangu Natamani nifike sasa Niabudu mbele zako Natamani kukuishia Hili ni ombi langu Oh papa Nitainua macho yangu Nitazame milimani Msaada wangu watoka wapi Kweli ni kwako Bwana Wewe ni Mungu wangu Wewe ni mwamba wangu Wewe mpenzi wangu Wewe mwokozi wangu ♪ Oh baba safari iko ndefu Ni nge penda ku fika kwako Nisi baki nime tumika tu Ili ni ombi langu baba Siku nyingi nimetumika Kwa Kazi yako bwana Lakini sitaki bwana Nikose kuona wewe Hili ni ombi langu Hili ni ombi langu Hili ni ombi langu Hili ni ombi langu Natamani kuingia mbinguni kwa Baba yangu Natamani kuingia mbinguni kwa Baba yangu Natamani kuingia mbinguni kwa Baba yangu Natamani kuingia mbinguni kwa Baba yangu Huko kunayo raha ya ajabu Natamani kuingia mbinguni Kwa Baba yangu Huko kuna uzima sawasawa Natamani kuingia mbinguni Kwa Baba yangu Natamani kumwona bwana Yesu mokonzi wangu Natamani kuingia mbinguni Kwa Baba yangu Natamani kumwona bwana Yesu kipenzi changu Natamani kuingia mbinguni Kwa Baba yangu Yeye ukimwona anang'ara Natamani kuingia mbinguni Kwa Baba yangu Yeye ukimfaamu ni uzima tele tele Natamani kuingia mbinguni Kwa Baba yangu Ili ni ombi langu la milele Ili ni ombi langu, ni ombi langu Ni ombi langu, ni ombi langu Ni ombi langu, ni ombi langu ♪ Natamani kuingia mbinguni kwa Baba yangu Natamani kuingia mbinguni kwa Baba yangu Natamani kuingia mbinguni mbele zake Baba yangu Natamani kuingia mbinguni kwa Baba yangu Huko kunayo raha ya ajabu Natamani kuingia mbinguni Kwa Baba yangu Huko kuna uzima teletele Natamani kuingia mbinguni Kwa Baba yangu Natamani kumwona bwana Yesu mokonzi wangu Natamani kuingia mbinguni Kwa Baba yangu Natamani kumwona bwana Yesu kipenzi changu Natamani kuingia mbinguni Kwa Baba yangu Yeye ukimwona ana meremeta Natamani kuingia mbinguni Kwa Baba yangu Yeye ukimfaamu ni uzima teletele Natamani kuingia mbinguni Kwa Baba yangu Ili ni ombi langu la milele Ili ni ombi langu, ni ombi langu Ni ombi langu, ni ombi langu Ni ombi langu, ni ombi langu Ni ombi langu, ni ombi langu Ni ombi langu, ni ombi langu