Kishore Kumar Hits

Reuben Kigame - Nitaimba Sifa Zako şarkı sözleri

Sanatçı: Reuben Kigame

albüm: Ombi Langu


Nitaimba sifa zako
Kwa kinywa changu
Kwa sababu wema wako umenijaza
Mwili wangu roho yangu takutukuza
Njooni nyote na muonje
Wema wake Mungu
Leo ndiyo siku Bwana amefanya
Sote tufurahi tumshangilie
Tumtukuzeni
Tumshangilie
Tumuinue
Anastahili
Tumtangazeni
Tumsujudu
Tumchezee
Yeye ni Bwana
Nitachukua chombo change
Nimchezee Bwana
Kwa kinubi na matari nitamtukuza
Mataifa njooni nyote
Sasa tumpe shangwe
Nchi bahari viumbe vyote
Sifuni Bwana

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar