Alright Baba yetu, tunaleta sifa zote ♪ Baba yetu wa Mbinguni Tunaleta sifa Kwako Wewe hulinganishwi Na yeyote duniani Mbingu na nchi zakusifu Jua na mwezi vyakutukuza Wanyama wa pori ndege wa angani Sifa tele kwako bwana Hoiyee! Sifa zetu Hoiyee! Ni zako zote Hoiyee! Usifiwe Hoiyee! Milele Bwana ♪ Tukiomba kwako Baba Sikio lako li wazi kwetu Macho yako yatuona Sisi watoto wako Ulimtoa Yesu Mwana wako wa pekee Alikufa msalabani Sasa tuko huru Hoiyee! Sifa zetu Hoiyee! Ni zako zote Hoiyee! Usifiwe Hoiyee! Milele Bwana ♪ Hoiyee! Sifa zetu Hoiyee! Ni zako zote Hoiyee! Usifiwe Hoiyee! Milele Bwana Hoiyee! Sifa zetu Hoiyee! Ni zako zote Hoiyee! Usifiwe Hoiyee! Milele Bwana Hoiyee! Sifa zetu Hoiyee! Ni zako zote Hoiyee! Usifiwe Hoiyee! Milele Bwana Hoiyee! Sifa zetu Hoiyee! Ni zako zote Hoiyee! Usifiwe Hoiyee! Milele Bwana (Hallelujah)