Naomba utulivu Nikinyenyekea mbele zako Siwezi pekee yangu Kwa sababu mimi ni dhaifu Naomba nguvu zako Nguvu zako Bwana naomba Naomba utulivu Nikinyenyekea mbele zako Siwezi pekee yangu Kwa sababu mimi ni dhaifu Naomba nguvu zako Kamwe mimi siwezi Mola nipe uwezo Bwana ni mchungaji wa maisha yangu Sitapungukiwa na kitu Hunilaza kwenye majani mabichi Huniongoza kwa njia za haki Katika bonde la mauti yeye hunami Si ajabu yeye hunituliza Naomba utulivu Nikinyenyekea mbele zako Siwezi pekee yangu Kwa sababu mimi ni dhaifu Naomba nguvu zako Baba naomba Naomba utulivu Nikinyenyekea mbele zako Siwezi pekee yangu Kwa sababu mimi ni dhaifu Naomba nguvu zako Kamwe mimi siwezi Mola nipe uwezo Nani ani fahe ila Mokonzi Mufaindzi wangu rafiki Nguzo yango na ngumi yangu Mwamba wangu aliye imara Katika bonde la mauti yeye hunami Si ajabu yeye hunituliza (Baba naomba) Naomba Utulivu Nikinyenyekea mbele zako Siwezi pekee yangu Kwa sababu mimi ni dhaifu Naomba nguvu zako Bwana naomba Naomba utulivu Nikinyenyekea mbele zako Siwezi pekee yangu Kwa sababu mimi ni dhaifu Naomba nguvu zako Naomba nguvu zako Naomba nguvu zako Naomba utulivu Nikinyenyekea mbele zako Siwezi pekee yangu Kwa sababu mimi ni dhaifu Naomba nguvu zako