Nimevipiga vita vizuri, Mwendo wangu nimeumaliza Nayo imani nimeilinda Natarajia kupewa taji na Bwana. Nikitazama nyuma sijuti hata Nimejifunza kusahau yaliyopita Sasa najisukuma kwa yaliyo mbele Nikimfuata Yesu mwokozi wangu Nimevipiga vita vizuri, Mwendo wangu nimeumaliza Nayo imani nimeilinda Natarajia kupewa taji na Bwana Japo imani yangu imetikiswa Mimi nimeshikiliwa na Yesu wangu Hata wakiniacha rafiki zangu Siri mimi niko na Imanueli Nimevipiga vita vizuri, Mwendo wangu nimeumaliza Nayo imani nimeilinda Natarajia kupewa taji na Bwana Nifuateni, nifuatatavyo Yesu Yeye ni mwanzo na mwisho wa imani yetu Msishawishike na ulimwengu upitao Tuvipige vita vizuri Nimevipiga vita vizuri, Mwendo wangu nimeumaliza Nayo imani nimeilinda Natarajia kupewa taji na Bwana