Nitumie lugha gani Kutangaza ukuu wako Eh, Mungu wangu Ufananishwi Nitumie sauti gani Kuimba nyimbo zako Umetukuka, una mamlaka yote Ningekuwa na ndimi elfu moja Ningetangaza jina lako dunia nzima Ningekuwa na uwezo mkubwa sana Ningepamba dunia mzima kwa jina lako Eh, Bwana Elimu ya mwana damu Ndimi za malaika Hazitoshi kusimulia Hekima, fahamu yako Uweza na upedo wako Eh, Bwana, umetukuka sana Ningekuwa na ndimi elfu moja Ningetangaza jina lako dunia nzima Ningekuwa na uwezo mkubwa sana Ningepamba dunia mzima kwa jina lako Eh, Bwana Nyota, ngurumo, bahari umeumba Ndege na wanyama wa kutegemea Samaki wadudu, majani vyote vyako Sisi wana wako, tuseme nini? Ningekuwa na ndimi elfu moja Ningetangaza jina lako dunia nzima Ningekuwa na uwezo mkubwa sana Ningepamba dunia mzima kwa jina lako Eh, Bwana... (Eh, Bwana...)