Kishore Kumar Hits

Reuben Kigame - Simba Nguruma şarkı sözleri

Sanatçı: Reuben Kigame

albüm: Usifadhaike


Basi sifa zake simba wa Yuda zianze kwani zitapakae ulimwenguni kwote
Simba wa Yuda sikia akinguruma
Simba nguruma hah, hah
Simba nguruma hah, hah
Simba nguruma hah, hah
Simba nguruma hah, aah...
Simba wa Yuda namsikia akinguruma
Kule kuzimu, eh
Tembeo lake kule latetemesha
Tembeo lake kule latetemesha, aah
Shetani oh kule atetemeka (sema)
Mapepo oh kule yanatoroka
Shetani oh kule atetemeka (ameogopa)
Mapepo oh kule yanatoroka
Amewapiga pigo la milele
Simba nguruma hah, hah
Simba nguruma hah, hah
Simba nguruma hah, hah
Simba nguruma ah-aah...
Watoto wa pwani mpo?
Simba nguruma hah, hah
Simba nguruma hah, hah
Simba nguruma hah, hah
Simba nguruma hah, aah...
Simba wa Yuda namsikia akinguruma kule kuzimu, eh
Tembeo lake kule latetemesha
Tembeo lake kule latetemesha
Shetani oh kule atetemeka
Mapepo oh kule yanatoroka
Shetani oh kule atatameka
Mapepo oh kule yanatoroka
Amewapiga pigo la milele
Simba nguruma hah, hah
Simba nguruma hah, hah
Simba nguruma hah, hah
Simba nguruma ah-aah...

Sisi tunakiri simba wa Yuda
Yuko hai (yuko hai)
Oh, oh (yuko hai)
Yuko hai
Tena kifo hakimuwezi
Amefufuka (hakimuwezi)
Oh, oh (ameshinda kifo)
Amefufuka
Tena yeye atawala, oh, oh
Atawala, milele na milele
Oh, oh (forever)
Atawala
Tena anarudi
Anarudi (kutunyakua, eh)
Oh, oh (kutuchukuwa)
Anarudi
Huyu simba wa Yuda
Yuko hai (yuko hai)
Oh, oh (siku zote)
Yuko hai
Tena kifo hakimuwezi we
Amefufuka (yuko hai)
Oh, oh (anaishi)
Amefufuka
Na tena ana mamlaka yote
Atawala (juu ya nguvu za giza)
Oh, oh (hey)
Atawala
Nafurahi anarudi
Anarudi (kutuchukuwa)
Oh, oh (kutunyakuwa)
Anarudi (woo!)

Sisi tunakiri simba wa Yuda
Yuko hai (yuko hai)
Oh, oh (yuko hai)
Yuko hai
Mauti hayamuwezi
Amefufuka (hey)
Oh, oh (hayamuwezi)
Amefufuka
Amepiga shetani pigo la milele
Atawala (anatawala)
Oh, oh
Atawala
Ninafurahi anarudi kuchukuwa kanisa
Anarudi (hey, hey)
Oh, oh
Anarudi (woo!)

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar