Kishore Kumar Hits

Ssaru - Zitoke şarkı sözleri

Sanatçı: Ssaru

albüm: Zitoke


London London
Ssaru, Ssaru
Hewa cheza kama wewe
Nimefika na niko na kusudi
Nimekuja kukubamba nikimaliza ndo nirudi
Niskize kwa sababu huna budi
Hizi mistari za leo nimezitoa tu Burundi
Kwanza nacheki uko moody ah
Pili napenda hio hoody ah
Ata ka we ni msee wa nduthi
Amka usakate juu uzembe ni upuzi mmh
Mpaka jasho linuke ushuzi
Ushuzi, ushuzi, shuzi shuzi
Siku hizi mnaringa mko choosy
Choosy choosy, choosy choosy
Moto mpaka unashindwa kuhandle
Niko kwenye flow songa kando
Karibia ninong'one jambo
Mi staki jua kama umetoka ng'ambo
Zitoke (Zitoke), ayy zitoke (Zitoke)
Zitoke (Zitoke), ayy zitoke (Zitoke)
Zitoke (Zitoke), ayy zitoke (Zitoke)
Zitoke (Zitoke), ayy zitoke (Zitoke)
Mmh fire rende inagwaya
Ngoma inachuna nipeleka ulaya
Hapa ukilegea tunakukaza na pliers
Kutwa hadi kucha kuja na akina Piers
Mmmh zitoke mi nikuokote
You say my name nikupeleke popote
Ssaru nitakupa chochote
Hata kama ni mbali tutafika huko kwote
Jichoche choche jichoche jichoche tu
Ayy zitoke ayy toke zitoke tu
Moto mpaka unashindwa kuhandle
Niko kwenye flow songa kando
Karibia ninong'one jambo
Mi staki jua kama umetoka ng'ambo
You might also like
Wanani Remix
Zitoke (Zitoke), ayy zitoke (Zitoke)
Zitoke (Zitoke), ayy zitoke (Zitoke)
Zitoke (Zitoke), ayy zitoke (Zitoke)
Zitoke (Zitoke), ayy zitoke (Zitoke)
Mkongwe zitoke mpaka uzee ukutoke
Kata kata, fanya denste nakulipia token
Kata kata, zitoke eey We mama zitoke tu
Kata, zitoke we baba zitoke tu, kata!
Zitoke (Zitoke), ayy zitoke (Zitoke)
Zitoke (Zitoke), ayy zitoke (Zitoke)
Zitoke (Zitoke), ayy zitoke (Zitoke)
Zitoke (Zitoke), ayy zitoke (Zitoke)
Zitoke (Zitoke), ayy zitoke (Zitoke)
Zitoke (Zitoke), ayy zitoke (Zitoke)
Zitoke (Zitoke), ayy zitoke (Zitoke)
Zitoke (Zitoke), ayy zitoke (Zitoke)
It's your favourite boy Kash Keed on the track

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar