Kishore Kumar Hits

Ssaru - Nawacha Pombe Remix (Feat Ssaru & Benzema) şarkı sözleri

Sanatçı: Ssaru

albüm: Nawacha Pombe Remix (Feat Ssaru & Benzema)


Nawacha pombe till' further notice
Yaani nawacha pombe adi budangu a notice
Ukinipata nakata maji, afande nishike na uniekelee bangi
Dr-dr-dr-dr-dr-dr-dr-dr-dr-dreaming
Murda
Nawacha pombe bado sitaki kudedi
Nimepoteza figo, maini na mashemeji
Pombe ilifanya niwe peng kienyeji
Nilikunywanga Gin kanilalishia Jegi
Pombe siipendi, naiweka pending
Mukuchu, hii weekend no spending
Yaani sitaki hizo party mi si attendi
Na ndani sina tackin, ntafuta number za pedi
Hutu tupombe twa choche za Githurai
Tufombe tu tuwili unatekwa na Maasai, aai
By chance, unakuta ni wa Rongai
Na umepeana pie kwa lijitu halifai
(Ssaru)
Nawacha pombe till' further notice
Yaani, nawacha pombe adi budangu a notice
Ukinipata nakata maji, afande nishike na uniekelee bangi
Aai nawacha pombe, nawacha pombe
Nawacha pombe, aki pombe nitakumiss
Aai nawacha pombe, nawacha pombe
Nawacha Pombe
Kushman pedi wa magenge
Sina nyege za pombe anymore
Kuanzia Monday mi na pombe is a no
Ata pombe ikuje na thong siikati
Ata ikuje bila? Siitaki
Pombe imefanya si enjoy salo' yangu
Saa hii nina watoto wengi kuliko budangu
Ni ma mimba tu, nikishalewa sifikiri ni ma mimba tu
Wife atanihepa nisipo wacha pombe
Nilipita choo nikakojoa kwa kikombe
Ujinga ya pombe imenifanya kibogoyo
Nilipigwa kidevu ju ya pombe ya uchoyo
Aah, pombe na gari ni ka stima na maji
Nilipita na kuku na mambuzi za Jirani
Pombe inaweza kukudanganya
Imagine ilifanya nikateka kim-mama (ayy)
Aai, nawacha pombe, nawacha pombe
Nawacha pombe, aki pombe nitakumiss
Aai, nawacha pombe, nawacha pombe
Nawacha pombe
Skiza
Nawacha Pombe till 'further notice (Get out of here men)
Nawacha Pombe mathangu a notice
Mzinga moja napata Cirrhosis
Sijakula nyama natapika Ostrich
Ushawai cheza play station mlevi?
Christiano anakaa Messi (aje?)
Ukona Pad lakini si ya period
Ukilewa kila dem wife material
Sasa, tumelewa
Sana? Sio sana
Alehandro nawacha pombe
Tll', further notice (ayy)
Nawacha pombe till further notice
Yaani, nawacha pombe adi budangu a notice
Ukinipata nakata maji, afande nishike na uniekelee bangi
Aai, nawacha pombe, nawacha pombe
Nawacha pombe, aki pombe nitakumiss
Aai, nawacha pombe, nawacha pombe
Nawacha pombe, aki pombe nitakumiss

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar