Tutageuzwa kichungi (kichungi) Kila zing amejidaisha kidungi (kidungi) Ground nare utageuzwa kichungi (Yoo) Hiyo riang' yenyu ya kusaka title (titile) Heri nikamedi hata na ki ital (fuu!,fuu!) Siwezi mind ukichoose kuwa rival Juu Militan amekuja na ki-riftle Mandaki zao tunapiga mosheki Juu walikatanga kutukatia keki Mkidai mkakuje na mavedi Tutakuwa zabe tukisetingi mahedi Kupona manangos si tunadungaga magive Jaza full clip juu nimefika maibe Tukisnadi tunakaanga kila ngite Tuko shughli hatusare hadi manjije Kwa Hii Ring mtakula ma viding ju Hamjui vile si husakanga vushying Si ndo wale wazing Senke tuko Jing tuko jing Tukiload magazine utabaki tu kwa scene Mi nadai nyi magwete msonge huko kando Ju mi ndo mtambo na nacheza kama Rambo Nawakata kama mango kuwarusha kwa mtaro Na ka una mambo we mrazi kula vako(Mrazi kula vako) Mi namada kama Vandetta na nitafanya mtaniteta Mi ni mateka juu nishawateka na ni Kidungi mi nachekesha...(ahhaa!) Goon man tunakanga kanga wale wote tunajua ni warazi Kwa warosho mafala wanaivisha We jichoche ndio buda ukapita Ni kunare utapiganishwa tisa Na ukichachisha hakuna vile utabakishwa Vibe Ngenje ndio riang' Ukisleki utapata mashashola zimeland Mr Man, mistari zikigwan Nazindua maga kisha shola na kimash Tumebonda na maLugz Leta ufala hutabakishwa na mathugs Dudi maths, tunasaka saka shagz one way kama fisi Na time ya kureverse (Smady tingz) Mazing ni kupiga tu baroda Piga riu tukukate hadi mocha Piga tapo mrazi achachishe Piga changli renga kwa mrota Babilon wanadai tu Portmore Wananauowo ngumi mbweze ni ma hate bad Hatuwadungi na ukapi ni mangiso Leta blodclat tukupige kidi Tiang' ban hii akibonga ni abugde Babilon wakimuok tuko nayo Wakikwara tunasnadi kimangoto ♪ Mangoto tulipiga finamonto Backstreet ukirenga unabaki Riang' zetu kuwadunga kwa mandaki Hizi beat tunazisunda kwa as unawakulisha das na manyonyo wameburst Round 2 tunakuja kuwabrush Rhyme zao kuna vile zimerust ♪ (Alex Vice)