Kishore Kumar Hits

Maandy - Ni Wetu şarkı sözleri

Sanatçı: Maandy

albüm: Flavour


Mmh aah kabaya
(Ricco Beats Mr 808)
Unadhani ni wako sio wako
Ala! Unajam na mambo bado
Naiseti fiti anaihandle
Tukimaliza rudi kwako
Sio wako, ni wetu
Sio wako, ni wetu
Sio wako, ni wetu
Sio wako, ni wetu
Jaber (eeh) kairetu (ah) kwa Mpasho, Jicho pevu
Ulisorora simu ndo ujam tu (jam)
Na ukizubaa atapanda mbegu
Aliacha slay juu ya kienyeji
Amber Ray hii kitu ni ya wengi
Yako ni ugali anataka keki
Wacha kujistress hakuna mapenzi
Hukuwai ambiwa plenty fish in the sea
Hii game ni ya wanjanja we cheza left wing
Through pass hadi mtu hungewaidhani
Ogopa mwenye atapea hadi wochi
Unadhani ni wako sio wako
Ala! Unajam na mambo bado
Naiseti fiti anaihandle
Tukimaliza rudi kwako
Sio wako,ni wetu
Sio wako,ni wetu
Sio wako,ni wetu
Sio wako,ni wetu (Okwonkwo)
Ni wako akiwa kwako
Akitoka nje ni wetu
Nikuuulize ndio akuje kwako
Alikuwa wapi si alikuwa kwetu
Buda boss acha kubonda
Mimi na wewe ni shareholders
Asanti ulimbuyia nguo
Alikuja ameing'ara
Nilimnyandua na hio nguo
Ile nguo ulimnunulia
Najua inauma is called sharing
Kanairo sharing is caring
Kama umecatch we move on
Me am the shoulder to lean on
Ukifanya alie ye hukuja kwangu
Nambembeleza tunaenda kwangu
Unadhani ni wako sio wako
Ala! Unajam na mambo bado
Naiseti fiti anaihandle
Tukimaliza rudi kwako
Sio wako, ni wetu
Sio wako, ni wetu
Sio wako, ni wetu
Sio wako, ni wetu
Unadhani ni wako sio wako (sio wako)
Ala! Unajam na mambo bado
Naiseti fiti anaihandle
Tukimaliza arudi kwako
Sio wako, ni wetu
Sio wako, ni wetu
Sio wako, ni wetu
Sio wako, ni wetu
Hii kanairo we relax tu
Piga mboka alafu
Usipate stress we mwanangu
Lakini sio wako, ni wetu

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar