Kishore Kumar Hits

Noel Nderitu - Upendo şarkı sözleri

Sanatçı: Noel Nderitu

albüm: The Love Sessions EP


Sikuona ishara, sikuona ishara ya upendo wako
Upendo wako we
Ndani nilizama, ndani nilizama upendo wako, ulinikanganya
Siku zikaja kuwa miezi, miezi ikawa kuwa miaka
Lakini bado najipata, ni kama nimetekwa nyara
Oh-oh-oh-oh, lakini sasa naelewa
Hii ni baraka nilipewa
Safari itakuwa njema
Oh-oh
Upendo kama wako, ni ukweli sio uongo
Nishazama ndani ya moto yako
Mtandao umepotea
Na ndani ya box ndio nimeingia
Na sitatoka ndani ya moto wa upendo wako
Upendo wako
Upendo wako
Oh-oh-ooh-ooh-oh-ooh
Hata tunapozozana, tunapozozana yeah-yeah-yeah
Nimeamua kukazana, amua kukazana nawe
Wanasema ni kazi, nimejisajili
Na kwenye ripoti, isemekane kuwa tuko wawili
Na ndio sasa naelewa
Hii ni baraka nilipewa
Nyuma hatutarudi tena
(Oh-oh-oh-oh)
Upendo kama wako, ni ukweli sio uongo
Nishazama ndani ya moto yako
Mtandao umepotea
Na ndani ya box ndio nimeingia
Na sitatoka ndani ya moto wako mpenzi
(Oh-oh-oh-oh)
Upendo kama wako, ni ukweli sio uongo
Nishazama ndani ya moto yako
Mtandao umepotea
Na ndani ya box ndio nimeingia
Na sitatoka ndani ya upendo wako
Oh-oh-oh-oh-ooh-ooh, upendo wako
Upendo wako, wako mpenzi
Upendo wako
Upendo wako

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar