Si si wa tribal, si ni wa tribe All!
Tuna breathe fire, mapua zetu zimekuwa smoking zone,
Ukabila kila place, wangapi wako ready kustop this jo!
Ukabila ni tofauti na culture, ni ka mutura na smokies jo!
Nafaa kumarry sistako ata ka si wa kwetu. Ka nimekukanyaga, sorry bro!
Ati - haja gani kujimix, kabila yetu ni tamu, ni kama Ujimix
Si tupange life, tukuwe na subira
Tungoje kuona tribe gani superior
Hakuna tribe superior here,
Kila mtu anapika na sufuria, here
Ni lini tutalearn hii lesson,
Ni vipi tutarun hii nation,
Prayer yangu kwa ma-vijana,
Tutashinda leo kama si jana,
Pamoja tutawin tukishikana,
Na tuone wengine yaani, see others,
Kama beautiful people, for we are beautiful people,
Chris Brown,
Tuseme tunataka peace now,
Na hivyo ndio tutarun this town!!
Wanubi Wajaka - Beautiful people,
Wakale Wahalla - Beautiful people,
Wasapere Maasai - Beautiful people,
Kenyans we are beautiful people!
Wanubi Wajaka - Beautiful people,
Wakale Wahalla - Beautiful people,
Wasapere Maasai - Beautiful people,
Kenyans we are beautiful people!
Tuongee English, Kiswahili, ukitaka Sheng,
Sisemi hivi ju niko ashamed,
Ni ju tunabonga ki-vernacular,
Before tushikanishe wameiba na kula,
Tunafaa kuanzisha watoto majina opposite,
Mi ni Mkale, bibi ni Mkamba, mtoto tunamuita Omondi,
Itakuwa generation ya no more jokes,
Ukabila tumepiga orthodox,
Unanifunza kuambia neighbour, Justo utahama,
Hizo ni vitu mzee ka Vasco da Gama,
Aka watu old school wanatufunza vitu hawako supposed to,
Ka odijo wa nursery wako one plus one,
Na si nyuma yao tunawasupport tu,
Ukitaka kumarry tribe ingine,
Maparo hutokea na machine guns,
Kama Comando ameshika,
Mikono ju, na mlete vichwa,
Mtatoa mapenzi penye mmeficha,
Manzi akasema I don't care,
Alafu kila mtu akapotea,
Boy akauliza who said no,
Kidogo kila mtu, Usain Bolt,
(Hahaha)
For we are beautiful people,
For we are beautiful people,
(Hahahaha)
Labda tribe yangu huwa wanavaanga black and white,
Wengine uso zao round kama tyre ya ndai,
Wengine wanapenda tie and dye,
Wengine wanapendanga kukunywa chai na psyche,
But, we are the same - equal,
Watu moja, we are the same people,
MP akileta dooh umfanyie kazi chafu mshow,
Hizo ni masilver,
Na tuna-tunataka real change, hatutaki hii para,
Ka huyo MP hakufanya kazi,
He will never ever never ever - Ciara,
Si tuko soft haturiot,
Ju tuko soft, smooth kama kipara,
Washed by the blood niko white and clean,
Sihitaji dollar dollar bill yoh, Wyclef Jean,
Ju Yesu ndio the reason, why we sing,
(Green)
Red, black and white,
(Green)
Red, black and white,
Are the colours of...
(Green)
Red, black and white,
Are the colours of, colours of...
Beautiful people,
We are tribe - All,
Sisi si watu tribal,
Au sio...
Поcмотреть все песни артиста