INSTRUMENTAL Nimetembea Sijaona One Like You x2 After Kuborn Again Niliacha Dhambi Most Kwa Placenta Nikapatia The Most High Center Akanifinya Pause Plus Enter, Im Free In Deed Hata Kama Kuna Watu Soo Cold, Kama Stephen Wanaweza ni Stone Cold Steve Austin Ndani Ya Yesu I Will Still Boast In Si Hitaji Forest Amenipa Timber Land, I am Happy Kukujua Hata Kama Si Na Land Junajua who My Christ Is, Siogopi Any Hata Crisis So Hakuna Mwenye Anaeza Sema Nishut up Nishaimba Hiyo Story Buda Nisha Rap Juu Kama Abraham Our Dad Is Terrah Naka hukufahamu aa that is Error Nimetembea Sijaona One Like You Popote Naenda Sijaona One Like You Nimetafuta Sijaona One Like, Yeeeah Jesus Acha Nikuite Sir, Acha Nikuite Sir, Acha Nikuite Sir You're Always On My Mind, My Mind, My Mind Hauwezi Stop Time Hata Uwe Na Bonge La Watch Ndio Maana Nime Shhh. Nisibonge Na Watch He's One In A Million Alishikilia Jua Uliza Gideon Zote Alipita Temptation, Kwa Maji Akafanya Peter Atembee Jo!! Sitegemei Pocha Nakula Wokovu, Siwezi Kuwa Poacher Amenipa Ndovu Kama Wochi Nita Stand Out, Ka Meno Ya Warthog Stand Out!! Kuja Church Utapata Niko Bass, Kama Boy Amebreak Voice Niko Base Na Apply Word Yako Kama Vaseline, Siwezi Kuparara Nina Daily Nina Good News Kwa New Testament, Si Lazima Nione News Ati By Telly, Mbele Nyuma Una Soo Tatu, Usijali Huja Sota Tuu!! Najua GOD Anasort Watu, I Cant Give Up Son Of The Most High Mini Donga, Blood Group Ni O Simi ni Donor If I Came This Far I Cant Give Up!!