Kishore Kumar Hits

Eko Dydda - Apana Tambua Ukabila şarkı sözleri

Sanatçı: Eko Dydda

albüm: Apana Tambua Ukabila


Tunapenda hii country don't deny you like this
Hata uende wapi hakuna country like this
Tume kuwa tribal for long and you can't deny this
Hauta haribu hii country ju weni wa 90s!!!
I thought a lot about this
In fact I thought I lost about this
Ma beshte wote I lost about this
Watu wenye Kenya lost about this
Bei zilipanda wote tunajua
Kenya ijawai rudi penye ilikuwa
Happy birthday Kenya ime mature Ukabila ni utoto tushajua
Tuko UNITED ka Manchester
DEFEND IT kama Chelsea
EQUIPPED kama Arsenal
TOGETHER kama ngumi
TOGETHER kama Liver Pool
YOU'LL NEVER WALK ALONE
Hauta tembea SOLO
Lazima ku win ka Kogalo
CHRIST ndio KIONGOZI tuna follow
Pride ni bitter but itabidi tume swallow
Hata kabila yako yote iwe president Poverty ichagui kabila labda residence Wasee wa runda
Apanatambua kiongozi anaukabila Washa tubafua miaka mingi na ukabila Apanatambua yeah
Apanachafua country yangu na ukabila apana chafua
Natambua people People!!!
Pole me APANATAMBUA your tribe!!!
Pole me APANATAMBUA my tribe!!!
Pole me APANATAMBUA their tribe!!!
Pole me APANATAMBUA our tribe!!!
Natambua people!!! People 5
Natambua people!!! Watu yeah
MUNGU alitaka tuishi pamoja
Angetaka angeumba kabila moja!!! Rainbow ni colourful rangi zikiwa pamoja!!!
Pudding ni tamu matunda ikiwa pamoja!!!
Kama moi tingisha kidole moja!!!
WE ARE ONE, SI NI number MOJA!!!
WE ARE ONE athletics wanajua dunia nzima WE ARE ONE
Si ni number moja!!! WE ARE ONE
SINI WATU MOJA!!!
FROM ADAM AND EVE WATU MOJA!!! TRIBE-ALL GENERATION WATU MOJA!!! Watu ka wewe ndio wanafanya uchumi inaoza
Ati ooh watu wetu
Ati ooh party yetu!!!
254 COUNTRY YETU!!!
Nani ana own kati yetu!!!
Tu fight for country yetu!!!
Tangu ENZI ZA DIVIDE AND RULE
Kuna msee hatawai toka huko kwenye anaita kwao
Weni kama shark zili lelewa kwa aquarium na zikarudishwa kwa ocean na hazitaki kuenda mbali ju kwa kichwa ziko na AQUARIUM MENTALITY!!!
Hapa ni home hapa ni kwetu
MBONA NISI INTERMARRY!!!
Mbona nistake kuongea luga ya taifa na kila mtu!!!
MBONA WATOTO WANGU WASIITWE MAJINA ZA KIKENYA LAZIMA IKUWE ZA KIKABILA!!!
Mbona nisijenge nyumba popote penye nataka Kenya!!!
Ushai jiuliza Kenya ikachomeka utaenda wapi na ukubalike nikama home!!! So apana chafua hapa!!! Apana choma hapa kama hauna plan B!!!
HAPA NI HOME HAPA NI KWETU

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar