Kishore Kumar Hits

Eko Dydda - Ako Na Form şarkı sözleri

Sanatçı: Eko Dydda

albüm: Ako Na Form


Vidole vi vidole Vidole vi vidole Vidole vi vidole (album scorch) Ako na form form ye ndo ako na form hapana skiza watu hizo ni kelele za chura
Ako na form form ye ndo ako na form hapana skiza watu hizo ni kelele za chura Ako na form form ye ndo ako na form hapana skiza watu hizo ni kelele za chura
Ako na form form ye ndo ako na form hapana skiza watu hizo ni …… From nothing to something ndo state…niko
You super family ni ka mwiko
Injili ipepete watu ju ni ka jiko shida zikiniona zinatoka ki…jiko cheki vyenye amedone vyenye amedone bado ndo amedone vyenye nilikuwa Nime……amedone ye ndo amebeba plan hata labda amecome… ju anacome kufwata son of man
Hata mimi nimemaliza I am done abadan katan By your grace niko ozone kama oxygen Akili ni nywele si tuna locks nje zabadanya zabadanya zabadanya zabadanya zama zi zama zama si zama zama z z z z zama ndani ya yesu hapana weka nose nje
Faida kwa Yesu weka loss nje. (CHORUS) Vaa spanner ju the future is bright
Hakuna cha ku left feature is right
Past present future is Christ Ye ndo mwangaza hapana flight Forever young tutawa…less
Maisha na king ndani ya pala…ce
Yesu ndo anafanya tutawa…le Kuja kwa Yesu achana na wa…le Sipendi grade zi zi husema that I'm missing sipping Blessings zinaflow kama misisipi
Life inabamba hata sitishiki
Pombe hata na gloves a a mi sishiki what a man Jesus what a man kutembea ju ya maji kutembea ju ya water man
His love so sweet toa ulimi onja that True love si blind Batimayo ona that
Kuna vyenye kuna vyenye kuna vyenye kuna vyenye
Kuna ku ku kuna ku ku kuna kuna ku kuna vyenye legion inaweza fanya umiss purpose Ufuate mother nature na umiss papa ushike omena umiss papa. (

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar