Kishore Kumar Hits

Eko Dydda - Amen şarkı sözleri

Sanatçı: Eko Dydda

albüm: Amen


Amen hahaha!!
Aaaa
Na wake up in the morning na breath fresh air.
Nina YESU moyoni tanitetea.
Macho men hawaoni wanaona mistake there.
Hadi penye sioni ata ni take there.
Korogocho ni ya Yesu
Amen
Hii kibera ni ya Yesu
Amen
Hii kayole ni ya Yesu
Amen
Hii Mathare ni ya Yesu
Amen
Money money made man mad
Money money made man mad
(Hahah)
Na go crazy for Christ
(Mmmm)
Na go crazy for Christ
Siko ashamed of the gospel sahi
Buda sita hide anything
Pole Afande leo sina ID
Jesus is my identity
(Aaah)
Umenipa life in abundancy
Kaa chakula naivas
(Aaah)
Na express venye Christ amenibamba
Acha nianze na hii verse
Sipendi vitabu but watu wa show wameni book
Sipendi vitabu but
Kaa ni Bible nipe book
Utapata Niko look
Mavazi nimedunga look
Nacheki Yesu Buda focus on Jesus ndiye look
Aaah
Mwana riadha siko mashindano aah
Mi si doctor siko mashindano aah
Kama Solomon, kama Solomon, kama Solomon
Minadai tuishingi right
Siko solo boy, Siko solo boy, Siko solo boy
Minadai tuishi in Christ
Na wake up in the morning na breath fresh air.
Nina YESU moyoni tanitetea.
Macho men hawaoni wanaona mistake there.
Hadi penye sioni ata ni take there.
Hii dandora ni ya Yesu
Amen
Hii huruma ni ya Yesu
Amen
Babadogo ni ya Yesu
Amen
Kawangware ni ya Yesu
Amen
Veve naweka kando stachana.
Naweka kando za jana.
Naweka kando waschana.
Naweka kando ma stunners.
Focus on JESUS hapo ndio minaweka eye ball.
Napenda ball mbili buda naziita bi ble.
Nina Gideons sita buy ball.
Nakupenda kuruka kuruka kimasai mall.
Nasema now!!!
Niko mafichoni now!!!
Chini ya Mwamba ni now!!!
Miujiza wow!!! Mbele ya YESU we bow!!! Bow!!! Bow!!! Bow!!!
Pale juu, pale juu, utabaki pale juu, pale juu.
Hehehe shetani too bad, too bad nyonde mbili.
Too bad mbaya mbili
Hehe kwa YESU minapata raha
Life smooth kama kipara amenishika ka
Origi, amenishika kama keeper ra!!!!
Na wake up in the morning na breath fresh air.
Nina YESU moyoni tanitetea.
Macho men hawaoni wanaona mistake there.
Hadi penye sioni ata ni take there.
Hii dandora ni ya Yesu
Amen
Hii huruma ni ya Yesu
Amen
Babadogo ni ya Yesu
Amen
Kawangware ni ya Yesu
Amen
Hata Nakuru, hata Mombasa, hata Kisumu... Eldoret hahaha
Nyaribari Chache... Kisii turn up hahaha!!!
Kenya yote ni ya YESU.
Afrika ni ya YESU.
Dunia nzima.

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar