Kishore Kumar Hits

Beka Flavour - Siachani Nae şarkı sözleri

Sanatçı: Beka Flavour

albüm: Siachani Nae


Siachani nae eeh eeh eh
Siachani nae uuuh (maximizer)
Nimezunguka na nimemaliza
Nimefika kwako nimekwama
Umeniteka na umenituliza
Kama maji kwako natuama
Unanipa furaha ya dunia
Nahisi mapenzi kuchanganywa
Na macho nafumba kuwaangalia
Wengine tusije kukosana
Siiii- sina mwingine
Fiii--mbo yangu ni wewe
Kibidubidu usije bidua
Ukigeuka simba utanirarua
Utanipa mawazo kuchanganyikiwa
Tamu lako penzi chungu ukaniachia aah
Kamoyo kangu nakugawia
Moja kwa moja usije nirudishia
Hapa duniani mpaka akhera pia
Ni wewe tu my darling
Siachani nae
Hata baadae
Siachani nae
Hata baadae
Siachani nae
Hata baadae
Siachani nae
Hata baadae
Najiamini hadharani nikisimama nanena
Kwa umakini yala mimi hatuigizi sinema
Mapenzi ya mitandao me sina
Tunapendana toka kwa mtima
Niko tayari kwa mabonde na milima
Mie mzizi na yeye ndo shina
Wapo vibinda popo wasiopenda penda ustaarabu
Chunga sana usiwaskilize maneno yao yakawa sababu
Kubidubidu usije bidua
Ukigeuka simba utanirarua
Utanipa mawazo kuchanganyikiwa
Tamu lako penzi chungu ukaniachia aah
Kamoyo kangu nakugawia
Moja kwa moja usije nirudishia
Hapa duniani mpaka akhra pia
Ni wewe tu my darling
Siachani nae
Hata baadae
Siachani nae
Hata baadae
Siachani nae
Hata baadae
Siachani nae
Hata baadae
Siachani nae
Hata baadae
Siachani nae
Hata baadae
Siachani nae
Hata baadae
Siachani nae
Hata baadae
Jeuri sina mama jeuri kwako wewe
Jeuri sina mama jeuri nimeapa kifo nawe
Jeuri sina mama jeuri kwako wewe
Jeuri sina mama jeuri nimeapa kifo nawe
Siachani nae
Si leo hata baadae
Siachani nae
Si leo hata baadae
Siachani nae
Si leo hata baadae
Siachani nae
Si leo hata baadae

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar