Picha ya mapenzi yote kumkabidhi mshahara ni machozi Mapenzi we yatezame kwa dvd moyo wangu kaupiga shoti Biashara ya mpenzi mingi mtihani mimi nimeingia lossi Nilipopenda ate sikudhani ningepigwa kidochi Wanatendwa akina bilgate na sharkan sembuse mimi ni nani Nimekubali najipa imani kuma yangu ridhiki Na kamoyo kana niuma, na uwoga kanifanyia dhuluma Mimi nashindwa kuyazoea maumivu yeeh Na kamyo kana niuma, na uwoga kanifanyia dhuluma Mimi nashindwa kuyazoea maumivu yeeh Nitawezana vipi naona kama siwez i(siwezi) Penzi ilinikamata siwezi (siwezi) Tururu turu turutu siwzei (siwezi) Penzi lilininogea siwezi (siwezi) Kabomoa daraji angali sijavuka ngambo (ngambo) Na mimi siwezi ogellllea ata maji ya kisado (sado) Kanikomoa kabisa yeye yuko kamili bado (bado) Yani kama miujiza sijaamini bado Moya kaucharanga chala amekuma mganga Na majini yempanda mimi silolote kaniona mshamba Mimi kwake nilita nganga vit aya maprnzi kaja na panga Kaniacha niko hoi sijitambui kabisa Na kamoyo kana niuma, na uwoga kanifanyia dhuluma Mimi nashindwa kuyazoea maumivu yeeh Na kamyo kana niuma, na uwoga kanifanyia dhuluma Mimi nashindwa kuyazoea maumiv yee eee auuh Nitawezana vipi naona kama siwezi (siwezi) Penzi ilinikamata siwezi (siwezi) Tururu turu turutu siwzei (siwezi) Penzi lilininogea siwezi (siwezi)