Usinione kimya kimya wee Ukazan sina akili wewe Vituko vyako dada wee Vinanifanya nikonde miee Simu ikipigwa unaenda pokelea bafun Nikikuliza ni nan ata jibu cpewi Apo ukitoka kurud usiku wa manane Lakin leo inabid niseme ukwel Kama ni mapenzi yamekuwa mkuki moyon Nimevumulia sana weee Kwakuzan utabadirika Nilikuamin sana mama wee Sikuzani utanitenda ivi Kama kukupenda nilipenda kuzid kipimo Bila kujal maneno watu wasemao Lakin ayo yote kwako hayana uzito Weee mapenzi sumu wee Aya mapenzi sumu