Giza mbele na mauti nyuma Pande zote huo umeshindwa kwamba nini Pesa hakuna mali umenyang'anywa Wamekukimbia uliowategemea Nasikia sauti kilio cha Yesu Njooni kwangu mlio na mizigo Nitawapumzisha Hakuna kilio tena Nitawapumzisha wataimba haleluya Nitaifanya milima tambarare Nitayafanya mabonde yote Yajae Ntanyosha sawa njia zote Wanadamu tutauona eeh Ntaifanya mambo yote mapya eeh Tazama natenda Kitu kipya leo Imba kwa shangwe wewe uliye tasa Shangilia sana wewe uliye tasa Panua nafasi imani mwako Tandaza Pazia hapo unapoishi Utapanuka kila upande ♪ Wazawa wakowatamiliki mataifa Sema Bwana Nitaifanya milima tambarare Nitayafanya mabonde yote
Yajae Ntanyosha sawa njia zote Wanadamu tutauona eeh ♪ Nitaifanya milima tambarare Nitayafanya mabonde yote ♪ Yajae Ntanyosha sawa njia zote Wanadamu tutauona eeh ♪ Unaweza Yesu wewee, Mungu wangu unaweza Mungu wangu wewe, Unaweza Mungu wee Mungu unaweza Hakuna linalikushinda unaweza Mungu eee, unaweza Yesu wee, Yesu wee, Unaweza Yesu wee, Yesu wee, Unaweza Mungu wee Mungu unaweza ♪ Jehovah Shammah, Unaweza Jehovah Rapha, Unaweza Jehovah Nissi Unaweza Elshaddai Unaweza