Afadhali kungoja Kumngoja bwana Subiri, subiri bwana Afadhali kungoja Kumngoja bwana Subiri, subiri bwana Usichukue njia ya mkato Usipotoshe mashauri ya wasio hai Heri mtu yule, afuataye sheria za bwana Atakuwa kama mti kando kando ya maji Huzaa matunda kwa majira yake Kila atendalo atafanikiwa Eeeeh Afadhali kungoja(Afadhali kungoja) Kumngoja bwana(Usikate tamaa) Subiri (Mungu yuko), subiri bwana Afadhali kungoja Kumngoja bwana Subiri, subiri bwana Umekuwa na maswali mengi mno Unashangaa Mungu yuko wapi Umebishabisha Mungu yuko wapi Kufunga na kuomba, Kukesha na kuomba Hupati majibu Mungu sio mwanadamu hadanganyi Subiri kwa imani Subiri, wewe subiri Afadhali kungoja Kumngoja bwana(Kumngoja bwana) Subiri, subiri baraka Subiri bwana Yesu akupenda Afadhali kungoja(Usikate tamaa) Kumngoja bwana(Mungu ni mwaminifu we) Subiri, subiri bwana Yote yawezekana Jipe Moyo Moyo Moyo Moyo Moyo So we can may and do it for love Joy comes in the morning Wait on the Lord Be still and know