Nikufahamu zaidi, Bwana Nikujue zaidi, Yesu Nikufahamu zaidi, ewe Nikuishie milele, Bwana Nataka nitembee na wewe wakati wowote Nitembee kwa nuru yako baba Nishirikiane na wewe kwa kila jambo Ongoza hatua zangu ewe baba Ongoza hatua zangu we ewe baba Ongoza hatua hatua hatua zangu, ongoza Wewe ni mume wa wajane Baba wa yatima, mfariji wa waliofiwa Mtetezi wa wanjonge Uwaponya waliovunjwa mioyo, mioyo we Na kuziganga jeraha zao, oh baba Hawa wote tegemeo lao ni wewe baba, ndiposa wanasema Nikufahamu, nikujue (Kama Musa nionyeshe njia zako) (Siyo matendo pekee) (Nikae miguuni pako) (Nikufahamu wewe) (Nakupenda na moyo wangu wote baba)