Bwana unafurahisha moyo wangu Ninayo sababu ya kuimba Pumzi umenipa furaha ukanipa Dhambi zangu kaondoa aah aah Bwana unafurahisha moyo wangu Ni nano sababu ya kuimba aah Pumzi umenipa furaha ukanipa Dhambi zangu kaondoa aah Ndio maana nasema Yesu amenibariki Yesu ameninua Nikiwa naye moyoni Sitaogopa kamwe Yesu amenibariki Yesu ameninua Nikiwa naye moyoni Sitaogopa kamwe Eeh eeh eeh sitaogopa kamwe Eeh eeh eeh sitaogopa kamwe Eeh eeh eeh sitaogopa kamwe Eeh eeh eeh sitaogopa kamwe Let me hear you do the chorus I can hear you are singing it very well Are you ready? Are you ready? Yesu amenibariki Yesu ameninua Nikiwa naye moyoni Sitaogopa kamwe Yesu amenibariki Yesu ameninua Nikiwa naye moyoni Sitaogopa kamwe Eeh eeh eeh sitaogopa kamwe (Put your hands together) Eeh eeh eeh sitaogopa kamwe Eeh eeh eeh sitaogopa kamwe Eeh eeh eeh sitaogopa kamwe Wapi shangwe na vigelegele Weka hapa weka hapa weka hapa tu Twende ♪ Bwana ni taa ya miguu yangu Mwanga wa njia yangu ooh Anilindaye hasinizi wala halali Yu pamoja nami eeh Wewe ni mwaminifu Wakati wote Yesu amenibariki Heya Yesu ameninua Heya Nikiwa naye moyoni Sita ogo pa kamwe Yesu amenibariki Heya Yesu ameninua Heya Nikiwa naye moyoni Sita ogo pa kamwe Eeh eeh eeh sitaogopa kamwe (Simba wa yudah) Eeh eeh eeh sitaogopa kamwe (Rafiki yangu) Eeh eeh eeh sitaogopa kamwe Eeh eeh eeh sitaogopa kamwe Somebody put your hands together for Jesus ♪ Yesu amenibariki Heya Yesu ameninua Heya Nikiwa naye moyoni Sita og opa kamwe Yesu amenibariki Heya Yesu ameninua Heya Nikiwa naye moyoni Sita ogo pa kamwe Eeh eeh eeh sitaogopa kamwe Eeh eeh eeh sitaogopa kamwe (Sitaogopa) Eeh eeh eeh sitaogopa kamwe (Kimbilio langu) Eeh eeh eeh sitaogopa kamwe (Rafiki yangu) Eeh eeh eeh sitaogopa kamwe (Mtetezi wangu) Eeh eeh eeh sitaogopa kamwe Listen listen listen to me Listen to me Tell your neighbour listen to her I want you to hear this When God is on my side I don't have to be stressed I don't have to be troubled When God is by my side I don't have to be stressed I don't have to be troubled What I just do I put a dance A song of praise And I just swerg Knowing that God Is protecting me He is covering me He is always by my side Tell your neighbour Put a song of praise on your mouth Alafu unaenda tu hivi Get out of your comfort zone Tell God you are on my side You are on my side You are by my side Are you ready? Yesu amenibariki Heya Niinua Heya Niinua Sita ogo pa kamwe Yesu amenibariki Heya Niinua Heya Niinua Sita og opa kamwe Yesu amenibariki Heya Niinua Heya Niinua Sita og opa kamwe Yesu amenibariki Heya Ameninua Heya Niinua Sita ogo pa kamwe We are winding up with swerg ♪ Tell your neighbour swerg Tell your neighbour You have to jump ooh Are you ready to jump Lets go 1,2,1,2,3 everybody ♪ Somebody jump ♪ Yesu amenibariki Heya Niinua Heya Nikiwa naye moyoni Sita ogo pa kamwe Hallelujah Somebody give Him a joyful noise A shout of triumph He is amazing God