Asante Yesu, (Asante Yesu) (Asante Yesu) (Asante Yesu) Kwa wema wako (Kwa wema wako) (Kwa wema wako) (Kwa wema wako) Pokea sifa (Pokea sifa) (Pokea sifa) (Pokea sifa) Ayaya Ninakupenda (Ninakupenda) (Ninakupenda) (Ninakupenda) Kwa wema wako (Kwa wema wako) (Kwa wema wako) (Kwa wema wako) Sijaona anayenifurahisha nasema (Pokea sifa) (Pokea sifa) (Pokea sifa) Tazama yale Mungu ametenda Ametimiza ahadi yake ndani yangu Na sasa mimi nashuhudia Ya kwamba Mungu wangu mwaminifu Ya kwamba Mungu wangu anajibu Ya kwamba Mungu wangu anaweza (Asante Yesu) (Asante Yesu) (Asante Yesu) Mimi ninakupenda (Ninakupenda) (Ninakupenda) (Ninakupenda) Ayayaya Umwaminifu,Umwaminifu (Umwaminifu) (Umwaminifu) (Umwaminifu) Nasema asante (Asante Yesu) (Asante Yesu) (Asante Yesu) Uombalo utapewa Utafutapo utaona Sikio lake sio zito Kusikia ombi lako Atajibu Furahia ndani ya Yesu Ameleta ushuhuda Furahia ndani ya Yesu Mpe Ibada yako (Umwaminifu) (Umwaminifu) (Umwaminifu) Nasema asante asante asante asante (Asante Yesu) (Asante Yesu) (Asante Yesu) Naimba Kwa sababu mimi ni testimony Am testifying testifying (Ninakupenda) (Ninakupenda) (Ninakupenda) He changed my story Now am called Mama mama, mama (Umwaminifu) (Umwaminifu) (Umwaminifu) Wacha niimbe,wacha nisifu (Asante Yesu) Naimba sifa za shukurani yeyeyeye (Asante Yesu) (Asante Yesu) Mimi ni ushuhuda ya kwamba Mungu anajibu Kwa wakati wake