Aaah Chid Bad music on this one Chid care Looking to your eyes l see your baby face wanders Acha inichengue l l'll be under cover umbrella Am telling no Lies eti kwake nimezama me msela Kindanindan namjua kitandan peleka mpela Mmmmh Ooh ma baby Doreen sema kwangu we unataka ni nin Nakupenda nikuache kwa ni nin Kwako nimekufa yameoza maini Eee Ooh baby Doreen napata tabu we ukiwa mwezini Twende kwa baba zawadi aah nikatoe posa mie Mmmh Wanauliza kuhusu mwezi kung'aa unaoga maji ya chupa She so beautiful lady amanilicho na moyo wangu nakupa Mmmmh Wataongea sana ili nikuache ila mama sitofanya hivyo Hapana Ooooh waley aaaah Hapana Wataongea sana ili nikuache ilama sitafanya hivyo hapana Nakupenda Doreen aaaah aaah sitofanyahivyo Hapana Aaaa eeeeh aaaah Aaaaah Mmmmh Hii ni true luv sio bandia anapenda navyo mpa Bombardia Aaah nizama kwenye penzi dear uzuri wake kama malikia Kiswahili kidog kingereza kwa wingi uyu Doreen bwana Asili yake mcongo kaniweza kwa vingi uyu Doreen bwana Iii jaman ili bonge la chombo anaishi Sweden uyu Doreen bwana Picha zake zinatesa wabongo uko mitandaon uyu Doreen bwana Mmmh Ooh ma bby Doreen sema kwangu we unataka nn Nakupend nikuache kwa nn kwako nimekufa yameoza maini Eeeeh Oooh ma bby Doreen napata tabu we ukiwa mwezini Twende kwa baba zawadi aah nikatoe posa mie Mmmmh Wanauliza kuhusu mwezi kung'aa unaoga maji ya chupa She so beautiful lady amanilicho na moyo wangu nakupaa Wataongea sana ili nikuache ila mama sitafanya hivyo Hapana (hapana) Ooooh waleee aaaaaah Hapana Wataongea sana ili nikuache ilamama sitofanya hivyo Hapana Nakupenda Doreen aaaah Aaaah sitofanya hivyo Hapana aaah eeeh