Kishore Kumar Hits

Lody Music - Moyo şarkı sözleri

Sanatçı: Lody Music

albüm: Moyo


Mapenzi
Yalikuja kwangu kama idea
Hila kukupenda siku tarajia
Sikuona wala ku sikia
Mpenzi kama wewe upo kwenye hii dunia
Oh baby bwana shikamo nakusalimia
Unavo nipa sikuona wala kusikia
Natamani Kuwa hadithia
Ili nao waelewe ninayo pitiya
Usisahahu
Moyo wangu
Wakike
Ukipenda umependa kweli
Usinidharau baby wangu
We nipe
Nikipenda mi chizi kweliii
Oh oh oh moyo
Oh oh moyo
Oh oh moyo utapasuka
Oh oh oh moyo
Oh oh moyo
Oh oh moyo unashitukaa
Hiviii ukipenda
Unakuwa chizi
Unakua Lofa
Unakua bubu
Unakua kiziwi
Unakua jau
Ooh my
Ama hivii mapenzi
Ukishayaoga unakua huoni
Unaweuka unajisahau
Ooh my baby
Mapenzii yananipeleka
Huko milimani sa sijui nani
Anitoe
Usisahau (usisahau)
Moyo wangu (moyoo)
Wakike
Ukipenda unapenda kweli
Usinidharau (usi nidharau) baby wangu
We nipe
Nikipenda mi chizi kweliii
O00h moyo
Eehh moyo we
Baby Moyo
Utapasuka
Oh oh oh moyo
Oh oh moyo
Oh oh moyo unashitukaa
Baby guno omwoyo gwange
Twaala gunno mwonyo gwange
Oh nana u nanaaa
Buli wonkwaata baby
Mpulilaa nsaanuka
Yegwe eyandya obwongo
Mpulila ondi eno mundaa
Ate orunsi bwo oyogera edobozi
Linyonyogeraa
Baby come close to me
Cause am running crazy without you
You are the woman of my love my heart and soul
Baby ndagukundaaa
Ngye ndagunda

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar