Ugali wa kutosha na sukuma wiki On repeat, Siku saba kwenye wiki Full Midoli inapamba magetto watoto Wanacheza na miti, Ntiti tu Riziki haizikibi wala hainunuliki Na uwezo haufichiki rafiki Mkunga nmechelewa kufika kazini na watu wana uchungu na mziki Huu umaarufu ni mzigo wa mwiba Mi naubeba juu ya kipara kibabe Rapper anaetaka hii tabu itashuka Vibaya athubutu hata anitaje Niko busy natengeneza culture Ambayo watoto wenu lazma waifate Mfalme wa mwisho kwa kizazi chake Staki izo flowers i need a garden (wuuh) Mkandarasi niko zangu site vibarua Njooni mbebe kokoto Nawachongea barabara ya rap, Mwanaume kazini pita kushoto Na kwa mwendo huu nahisi ntabaki Majivu maana ninazidi kuwa wamoto Rapcha ni sumu ya panya ushajua Umbali gani natakiwa nkae na watoto (Lighter sound) Oh my God! Kazi na dawa ije pesa na power Ukishiba faida umekula loss Koti la babu for now liko safi 'coz Chawa wanaishi kwenye koti la boss Naulizwa kipindi gani huwa naenda Nyumbani kukoga kukosha mikosi Of course Mangi hata kabla ya Decеmber utaniona tu hai nikitoka moshi Ushindi hujaga na pain, Ukija na favor tu jua kuna siku utapay Na bei inakua haisogei, Dеlay ikizidi tu boss ananuna haongei Na daily wanakukebehi Waliokubeba wanabwaga hawakutetei Vikwazo kwenye high way Then Jina lako wanalizika day by day Nashinda mpaka sienjoy pambano So mimi ni mfano sistahili shindano Bar kwa Bar hakuna mchuano Nkiskia tu mwano naleta kibano Namaliza awamu naongeza mitano Jimboni mtaniona after miaka mitano Ukiwa kwa sangoma unachanwa na Nyembe we bwege hospitali unaogopa sindano Shhh Bar zinaingia kwa mwili Usichezeshe tako ilo utavunja syringe Safari njema ka una catch feelings Wenzako wanakusubiri Nashusha fire now sema suu Namchana idol wako sema suu 99 hatuingiwi kiboya boya watakuvunja Taya sema suu Nani anataka noma sema suu Toa hata ka mguno sema suuu Nalea watoto silei ujinga natia tu block Chap sema suuu Nafanya nlichozaliwa kufanya Ukinibania I don't really care Huwezi shindana na kazi ya Mungu ukadhani watoto wake watakuchekea Radio mbao frequency inasomeka 99 Now On Air Mnaeza kutafuta kazi nyingine Maana huu mziki nawaonea Nashusha fire now sema suu Namchana idol wako sema suu 99 hatuingiwi kiboya boya Watakuvunja taya sema suu Nani anataka noma sema suu Toa hata ka mguno sema suuu Nalea watoto silei ujinga natia tu Block chap sema suuu