Kishore Kumar Hits

Meja Kunta - Kidimbwi şarkı sözleri

Sanatçı: Meja Kunta

albüm: Kidimbwi


Sema aya wee,
Aya wee
Aya wee, aya wee
Aya wee, aya wee
Aya wee, aya wee
Naitwa mr misifa,
Nina sifa zangu mimi
Sifa ya kwanza nikipenda sisubiri
Mbili mshamba wa mapenzi boya kweli
Mpaka Kajala anajua
We mama utaniua mama
Na mdogo mdogo utanitoa roho
Nichinje mie
Na unavyocheza utanitoa roho
Bado haijatosha
Ongeza mpaka uone sijitambui
Nisahau mama na baba wote siwajui
Jamani Paula utaniua ma,
Wewe mama utanitoa roho
Nichinje mie,
Na unavyocheza utanitoa roho
Jaman Mie
Sio mshamba wa mapenzi kugombania mapenzi siwezi
Ya nini eeh,

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar