Kishore Kumar Hits

Jay Moe - Nisaidie Kushare şarkı sözleri

Sanatçı: Jay Moe

albüm: Nisaidie Kushare


Naomba unisaidie kushare
Naomba unisaidie kushare
Naomba unisaidie kushare
Touch touch
Nisaidie kushare naomba unisaidie kushare
Hiyo ndo game ya sasa game ya insta
Gram za ma facebook pia na twitter
Best wright in ryhmes
More taking pictures
Fani ndo game watu wanoyoifanya hivi sasa
Game ya advote and caption
Kwenye mitandao
Promo mwezi mzima song wanaiachia mwezi ujao
Mwezi mzima wanaomba niwasaidie kushare baba lao
Mpaka naona noma wasione nawaletea madharau
Na ukizingatia kwamba sharing is caring
If post imetulia haitaji kuomba me nita share
Wengine wana feli wanaomba niwasaidie kushare bila hata salam
Really?
Watu wanataka wasikilize track kwa redio
Tunashare tu ma piqs kumbe track yenyewe sio
Bora waliomba niwasaidie kupost matukio
Naletewa tu video wanaomba bofya link kwenye bio
Moe
Samahani brother naomba unisaidie kushare
Naomba unisaidie kushare
Samahani dada naomba nisaidie kushare
Nisaidie kushare naomba unisaidie kushare
Samahani brother naomba nisaidie kushare
Naomba unisaidie kushare
Samahani dada naomba unisaidie kushare nisaidie kushare naomba unisaidie kushare
Samahani gani nimekukwaza baba lake
Ila ukweli ukubalike
Mimi ni analogue sio social network
Hivi ni instagram ndo imefanya muwike
Mambo ya photoshoot i am not used to
Its such a new thing ila inahusu
Plus TV many viewers kwenye you tube
Many followers on ig
Ndo utusu

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar