Kishore Kumar Hits

Stara Thomas - Nipo Kwa Ajili Yako şarkı sözleri

Sanatçı: Stara Thomas

albüm: Nani Ni Mshamba

Wengi nimewaona ila moyo watakapo tu kutulia
Kwa dhati ninanena ukweli, ninasema ah kutoka moyoni
Nipo kwa ajili yako wewe, ata kama uende mbali oh
Sito linadi pendo lako ivyo ndivyo nilivyo bwana weh
Hata kama waseme sana (nipo kwa ajili yako weh)
Hata kama wanune sana (nipo kwa ajili yako weh)
Hata kama wasuse sana (nipo kwa ajili yako weh)
(Nipo kwa ajili yako weh)

Fahari ninapata uwapo karibu yangu oh, kila wakati
Siku hadi siku wazidi kutulia moyoni mwangu
Shaka sikutilii wewe kwani jibu nimeshapata yoh
Nafsi imekubali nayo kipingamizi hakuna tena yoh
Hata kama waseme sana (nipo kwa ajili yako weh)
Hata kama wanune sana (nipo kwa ajili yako weh)
Hata kama wasuse sana (nipo kwa ajili yako weh)
(Nipo kwa ajili yako weh)

Hata kama waseme sana (nipo kwa ajili yako weh)
Hata kama wanune sana (nipo kwa ajili yako weh)
Hata kama wasuse sana (nipo kwa ajili yako weh)
(Nipo kwa ajili yako weh)
Hata kama waseme sana (nipo kwa ajili yako weh)
Hata kama wanune sana (nipo kwa ajili yako weh)
Hata kama wasuse sana (nipo kwa ajili yako weh)
(Nipo kwa ajili yako weh)

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar