Kishore Kumar Hits

Gloria Muliro - Kazi Yako Haina Makosa şarkı sözleri

Sanatçı: Gloria Muliro

albüm: Sitolia


Ingelikuwa Mungu anauliza mwanadamu
Jinsi ya kumtendea mwanadamu
Basi mimi nisingekuwa jinsi nilivyo
Hata tena nisingekuwa mahali nilipo
Ungeambiwa sifai, wangekukanya vikali
Ungekumbushwa dhambi zangu za kale
Unabariki unayependa, unabariki unavyopenda
Nahitaji ndio yako yesu tu
Nahitaji ndio yako yesu tu
Ninataka ndio yako Yesu tu
Ndio yako itanisimamisha
Ndiyo yako ndiyo itanifungulia milango
Hakuna sikio lenye funiko jamani
Wala sijaona jicho lenye pazia
Adui zako wangelikuwa na uwezo
Wangefumba macho, wangefunika masikio
Wasikuone ukiwa juu, wasisikie umebarikiwa
Meza utaandaliwa mbele yao
Utakula, utakunywa mbele yao
Nahitaji ndio yako yesu tu
Nahitaji ndio yako yesu tu
Ninataka ndio yako Yesu tu
Ndio yako itanisimamisha
Ndiyo yako ndiyo itanifungulia milango
Nasema ndio, ndio ya Bwana
Yesu usiposema ndio, mali yangu, akili zangu hazitaweza
Bwana sema, sema ndio, yatosha
Nahitaji ndio yako yesu tu
Nahitaji ndio yako yesu tu
Ninataka ndio yako Yesu tu
Ndio yako itanisimamisha
Ndiyo yako ndiyo itanifungulia milango

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar