Kishore Kumar Hits

Esther Wahome - Damu şarkı sözleri

Sanatçı: Esther Wahome

albüm: Kuna Dawa

Sioshwi dhambi zangu,
Bila damu yake | What can wash away my sins, but his blood
Nahitaji kabisa,
Dawa ya makosa yangu | I need it completely, the cure for my sins
Ndiposa nakimbia pale msalabani | Thus I run to the cross
Haya initakase,
Damu ya mkombozi | That it may cleanse me, the blood of my savior
Damu, damu,
Damu ya mkombozi damu | Blood, blood, blood of my savior blood
Damu, damu,
Damu ya mkombozi damu | Blood, blood, blood of my savior blood
Sipati patanishwa,
Bila damu yake | I cannot find any solution, without his blood
Hukumu yanitisha,
Ila hiyo damu | Judgement would scare me, if it wasnt for that blood
Ndipo namlilia,
Aliye mwaga damu | thus I cry to him, the one who spilled his blood
Sasa initakase,
Damu ya mkombozi | That it may cleanse me, the blood of my savior
Damu, damu,
Damu ya mkombozi damu | Blood, blood, blood of my savior blood
Damu, damu,
Damu ya mkombozi damu | Blood, blood, blood of my savior blood
Sipati tumaini,
Bila damu yake | There would be no hope, if it wasnt for his blood
Wema wala amani, pia na usalama | Goodness or peace, and safety
Ndipo namtazama, huyu mwana kondoo | Thus I look to him, the lamb
Ili initakase,
Damu ya mkombozi | That it may cleanse me, the blood of my savior
Damu, damu,
Damu ya mkombozi damu | Blood, blood, blood of my savior blood
Damu, damu,
Damu ya mkombozi damu | Blood, blood, blood of my savior blood

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar