Certain tribe language ... Twalumbaga bhutu... Twalumbaga bhutu mamaa Ndugu zangu wote nawashukuru sana Tumepambana katika ulimwengu Muda umefika wa kuachana Tuagane kwa furaha sitaki lawama ninapokwenda nayo ni kuzuri majani yanaota na maji yanakwenda nitafurahi mkicheka kuliko kusononeka ila tukiachana tutaonana tenaa Naenda zangu ninakimbia mkiniomba kubaki nitaanza kulia Ndugu na jirani, rafiki na mtu flani mko na mimi moyoni Mola tu ndo anajua ndio maana tusaidiane Tuheshimiane kuna siku tutaachana peponi je tutaonana, Ulimwengu haturudi tena Tupendane tukiwa hai. X2