Kishore Kumar Hits

Rose Muhando - Si Salama şarkı sözleri

Sanatçı: Rose Muhando

albüm: Jipange Sawa Sawa


Linda moyo wako mama mama maama!
Kuliko yote ulindayo mama aah!
Maana ndiko zitokako chemichemi za uzima maaama,
Zitokako chemichemi za uzima mama aah,
Ulisawazishe pito na mguu wako oh!
Ondoa mguu wako maovuni mama;
Safari ulioianza si salama,
Huko unakokwenda si salama,
Kumejaa mauti si salama,
Mchumba uliyenaye si salama,
Anakuwazia mabaya si salama,
Tazama samani zake si salama,
Chunguza mwenendo wake si salama,
Mwenzako mshirikina si salama,
Ana mikataba na kuzimu si salama,
Waganga wanamjua si salama aah wo!
Utajiri ulionawo si salama,
Elimu uliyonayo si salama,
Na huyo uliyenaye si salama,
Ingawa anavutia si salama,
Hata kama ni namba nane si salama
Hata kama ana shape zuri si salama
Mbona atake kupima mjumba wako huyo,?
Daktari anafahamu si salama,
Amekimbia majibu si salama aah!
Huna amani, una mashaka?
Maisha yako, ni ya mashaka?
Kazini kwako, una mashaka,?
Ona afya yako ni hatihati,
Furaha yako imetoweka,?
Tumaini lako, limepotea?
Ulivyozunguka sasa vyatosha,
We njoo, Yesu anakupenda,
Lete kwa Yesu, mizigo ya dhambi zako, wewe
Tua mizigo yako, Kalvari tua mizigo yako hooo!
Salama kwa Yesu salama
Salama salama kwa Yesu salama,
Shwari shwari kwa Yesu salama,
Magonjwa hakuna, kwa Yesu salama Mauti hakuna, kwa Yesu salama,
Rudi, kwa Yesu salama,
Njoo, kwa Yesu salama,
Rudi, kwa Yesu salama,
Wewe, kwa Yesu salama
Wewe, kwa Yesu salama haa!
Analojina lakini si salama,
Analoitwa usiku si salama!
Iishi iishi kwa Yesu salama,
Subiri subiri kwa Yesu salama,
Tosheka tosheka kwa yesu salama,
Mashaka hakuna, kwa Yesu salama,
Rudi, kwa Yesu salama
,Rudi, kwa kwa Yesu salama,
Wewe kwa Yesu salama
Wewe kwa Yesu salama haa!
Salama salama kwa Yesu salama
Salama salama kwa Yesu salama,
Shwari shwari kwa Yesu salama,
Shwari shwari kwa Yesu salama
Rudi, kwa Yesu salama,
Wewe, kwa Yesu salama haa!
Rudi, kwa Yesu salama,
Salama salama kwa Yesu salama
Salama salama kwa Yesu salama,
Shwari shwari kwa Yesu salama,
Shwari shwari kwa Yesu salama
Rudi, kwa Yesu salama,
Wololo Wolo
Salama salama kwa Yesu salama
Salama salama kwa Yesu salama,

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar