Kishore Kumar Hits

Rose Muhando - Penye Raha şarkı sözleri

Sanatçı: Rose Muhando

albüm: Tazama Mungu Anacheka


Hapa, hapa ndipo penye raha
Hapa, hapa ndipo penye raha
Hapa, ndipo penye raha
Hapa, kwa Yesu pana raha
Nyumbani wa Mungu kuna raha
Hatu pigani vikumbo kuna raha
Hatu semani mavumbo kuna raha
Hatu pigani vikumbo siye raha tupu
Hatu semani mavungo kuna raha
Tuna seremuka njamani raha
Tuna seremuka ah kuna raha
Hapa, hapa ndipo penye raha
Hapa, hapa ndipo penye raha
Haturishani roho pana raha
Hatusemani mafumbo pana raha
Hatu pigani vikumbo pana raha
Tuna seremuka njamani raha
Tuna seremuka njamani raha
Yesu njoo utupe raha
Baba wewe ndiwe raha
Yesu njoo utupe raha
Wewe njoo utupe raha
Mama, baba njoni kwa Yesu mpate raha
Kijana njoo kwa Yesu upate raha
Toa mizigo kwa Yesu upate raha
Leta magonja yako kwa Yesu upate raha
Ntuike yeye fadhaza zako upate raha
Ana sema njooni kwangu ninyi muone raha
Twendeni kwa Yesu
Tupate raha
Hapa pana raha
Hapa, hapa ndipo penye raha
Hapa, hapa ndipo penye raha
Haturishani roho pana raha
Hatusemani mafumbo pana raha
Hatu pigani vikumbo pana raha
Tuna seremuka njamani raha
Tuna seremuka njamani raha
Hapa, hapa ndipo penye raha
Hapa, hapa ndipo penye raha
Haturishani roho pana raha
Hatusemani mafumbo pana raha
Hatu pigani vikumbo pana raha
Tuna seremuka njamani raha
Tuna seremuka njamani raha

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar