Kishore Kumar Hits

Rose Muhando - Mungu Unashangaza şarkı sözleri

Sanatçı: Rose Muhando

albüm: Tazama Mungu Anacheka


Halleluiah
Wewe mungu unashangaza sana
Halleluiah
Halleluiah aah
Tuuulu tululu tuuulu
Matendo yako yaajabu sana
Yashangaza
Fadhili zako za milele baba
Zashangaza
Nikitazama ulivyoumba
Yashangaza
Upendo wako kwangu mimi
Washangaza
Miujiza na maajabu tele
Yashangaza
Wanyama wakondeni baba
Washangaza
Milima na mabonde inaimba
Washangaza
Wanyama nao wanasema wewe
Washangaza
Uumbaji wako mungu
Washangaza eiiaa
Matendo yako yaajabu sana baba
Washangaza
Fadhili zako za milele baba
Washangaza
Uwezo wako kwa ulimwengu
Washangaza
Uumbaji wako wa pekee
Washangaza
Aah nikupe nini mungu wangu
Washangaza
Unavyonipigania baba
Washangaza
Rehema zako kwangu mini
Washangaza
Mataifa waimbe
Ni wewe
Rose:(waiimbee)
Ni wewe
Wenye nguvu waimbe
Ni wewe
Rose:(waimbee)
Ni wewe
Wenye waaruni imba
Ni wewe
Rose:(imbaa)
Ni wewe
Jerusalemu waseme
Ni wewe
Rose:(wasemee)
Ni wewe
Mwenye nguvu ni wewe
Ni wewe
Rose:(Ni wewe)
Ni wewe
Mwenye uwezo ni wewe
Ni wewe
Rose:(Ni wewe)
Ni wewe
Wateule na waimbe
Ni wewe
Rose:(waiimbee)
Ni wewe
Nao waharuni imba
Ni wewe
Rose:(waiimbee)
Ni wewe
Walioko moyo imba
Ni wewe
Rose:(waiimbee)
Ni wewe
Wateule imbeni hee
Ni wewe
Rose:(waiimbee)
Ni wewe
Mwenye nguvu ni wewe
Ni wewe
Rose:(Ni wewe)
Ni wewe
Mwenye uweza ni wewe
Ni wewe
Rose:(haya ni wewe)
Ni wewe
Mwenye mamlaka ni wewe
Ni wewe
Rose:(oo Ni wewe)
Ni wewe
Mungu nani kama wewe
Ni wewe
Rose:(Ni wewe)
Ni wewe
Ni wewe
Tuuulu tululu tuuulu

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar