Kishore Kumar Hits

Rose Muhando - Yesu Wetu şarkı sözleri

Sanatçı: Rose Muhando

albüm: Jitenge Na Lutu

Huyu Yesu ni wetu, ametuletea wokovu
Mema ya nchi ni yetu, sisi tulio mwamini
Tutakula na kushiba, sisi na watoto wetu
Huyu Yesu ni wetu, ametuletea wokovu
Mema ya nchi ni yetu, sisi tulio mwamini
Tutakula na kushiba, sisi na watoto wetu (haiya!)
Kumbe majumba ni yetu (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Magari mazuri ya kwetu (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Mashamba mazuri ya kwetu (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Fedha na dhahabu ni zetu (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Urithi wa mbingu ni wetu (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Tutakula na kushiba (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Mema ya nchi ni yetu (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Tutakula na kushiba (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)

Nasema usiwape mbwa chakula cha watoto wako
Nasema usiwape mbwa chakula cha watoto wako
Chonde usiwape mbwa urithi watoto wako
Jamani usimpe kahaba urithi wa watoto wako
Usimpe adui nafasi kumiliki mahali pako
Mbwa ni mbwa hajui thamani ya ulicho nacho
Nasema mbwa hajui thamani ya watoto wako
Jamani mbwa hajui gharama ya ulicho nacho
Milele mbwa hajui thamani ya maisha yako
Mkane mbwa hajui thamani ya ulicho nacho,
Milele na milele mbwa makombo ndiyo saizi yake
Huyu Yesu ni wetu, ametuletea wokovu
Mema ya nchi ni yetu, sisi tulio mwamini
Tutakula na kushiba, sisi na watoto wetu
Huyu Yesu ni wetu, ametuletea wokovu
Mema ya nchi ni yetu, sisi tulio mwamini
Tutakula na kushiba, sisi na watoto wetu (haiya!)
Kumbe majumba ni yetu (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Magari mazuri ya kwetu (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Mashamba mazuri ya kwetu (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Fedha na dhahabu ni zetu (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Urithi wa mbingu ni wetu (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Tutakula na kushiba (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Mema ya nchi ni yetu (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Tutakula na kushiba (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)

Huyu Yesu ni wetu, ametuletea wokovu
Mema ya nchi ni yetu, sisi tulio mwamini
Tutakula na kushiba, sisi na watoto wetu
Huyu Yesu ni wetu, ametuletea wokovu
Mema ya nchi ni yetu, sisi tulio mwamini
Tutakula na kushiba, sisi na watoto wetu (haiya!)
Kumbe majumba ni yetu (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Magari mazuri ya kwetu (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Mashamba mazuri ya kwetu (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Fedha na dhahabu ni zetu (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Urithi wa mbingu ni wetu (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Tutakula na kushiba (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Mema ya nchi ni yetu (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)
Tutakula na kushiba (haiya)
Sisi na watoto wetu (haiya)

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar