Huuu uuuh uuuh uuh
AM Record's
Kama umechacha siutulie
Usitufuate wala bata
Usisikie la kuambiwa
Jua starehe gharama
Kamwe usiwafate wala bata
Ukiwa na hela ya ndama
Usinifate kwenye starehe
Usije ukanipa lawama
Nitakupa tafu kwenye ku'boost
Ikiwa gari lako limekwama
Usinihonge bia kama hujaja na mimi
Ushajijua huna huku umefwata nini
Mi usinipe lawama pindi nikikupiga chini
Hembu nikumbushe mara ya mwisho nilini kuja
Oya oya kaa ukijua starehe gharama
Oya oya kaa ukijua starehe gharama
Oya kaa ukijua kwamba (starehe gharama)
Oya kaa ukijua kwamba (starehe gharama)
Oya oya kaa ukijua starehe gharama
Oya oya kaa ukijua starehe gharama
Oya kaa ukijua kwamba (starehe gharama)
Oya kaa ukijua kwamba (starehe gharama)
Usipende mademu wa bure ujue wana madhara
Usipende na pombe za bure ujue zina madhara
Ushajua hela hauna basi usitoke we lala
Usikae mpaka disco liishe ili upande daladala
Mtoto wa kike kavamia bia kilichomkuta (aibu)
Mtoto wa kiume kaponzwa na bia kashika ukuta
Kaja na hela msiba club we kilichomkuta (aibu)
Onesha wowowo (tingisha kama imekwisha)
Oya oya kaa ukijua starehe gharama
Oya oya kaa ukijua starehe gharama
Oya kaa ukijua kwambaaa (starehe gharama)
Oya kaa ukijua kwambaaa (starehe gharama)
Oya oya kaa ukijua starehe gharama
Oya oya kaa ukijua starehe gharama
Oya kaa ukijua kwamba (starehe gharama)
Oya kaa ukijua kwamba (starehe gharama)
Onaaaaa, alivyoumbuka!
Onanaaa, kimemshuka!
Umemwacha kalewa kazima
Kashtuka kumekucha!
Onaaaaa, alivyoumbuka!
Onanaaa, kimemshuka!
Umemwacha kalewa kazima
Kashtuka kumekucha!
Kizuri chajiuza
Kibaya chajitembeza watu wanacheka
Ubahili wa watu
Ndo maana tuna staa wa mieleka
Oya oya kaa ukijua starehe gharama
Oya oya kaa ukijua starehe gharama
Oya kaa ukijua kwambaaa (starehe gharama)
Oya kaa ukijua kwambaaa (starehe gharama)
Oya oya kaa ukijua starehe gharama
Oya oya kaa ukijua starehe gharama
Oya kaa ukijua kwambaaa (starehe gharama)
Oya kaa ukijua kwambaaa (starehe gharama)
Skuhizi ukitaka kutoka lazima ujipange
Si unajua club ukitoka sio coca ni pombe
Skuhizi ukitaka kutoka lazima ujipange
Si unajua club ukitoka sio coca ni pombe
Chegera
Eeh eeh Maneke
Eeh eeh Chief Kiumbe
Maneke eeh eeh
Chief Kiumbe
Mussa Barbers jama
Cheif hana khiyana
Abdu bonge kaza kaza sana
Поcмотреть все песни артиста
Sanatçının diğer albümleri